Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Acha uongo wa kijinga.250,000
Acha uongo wa kijinga.250,000
Huyu atakuwa mlinzi wa halmashauri.hajui hata maana ya inflationAcha uongo wa kijinga.
Naungana na wewe. 5 tenaKiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais,,toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka,,,kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
MisukuleNaungana na wewe. 5 tena
ongezeko la elfu 90 ndio unasema maneno yote haya kweli! Miaka 10 yeye akiwa makamu mpaka kuwa raisi jumla 110,000 tu nyongeza! dhambi sanaKiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais,,toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka,,,kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
Wewe ni daah acha nisikutukane kima wwKiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais,,toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka,,,kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
ONgeza milion kama.hautatoshaShida ya mshahara,
Hata uongezewe Bei gani, HAUTOSHI
Sema Watumishi mnalamba asali Sana awamu hii, Hongera
Hana kaz huyo chawa ana jipendekezaKama kweli wewe ni mtumishi wa umma, basi utakuwa una uwezo mdogo sana wa kufikiri.
subiria kanyongeza uchwara ukaone ndio uje hapa useme haya manenoNitapigia Kura CCM kwa Mara ya Kwanza, Nani Kama Mama Samia 🤩🤩🤩
Labda duka la Makopo machafu kutoka jalalaniHaya ndiyo yanasababisha watumishi wa umma muonekane wajinga, eti hakuna deni, pumbavu kabisa kama hakuna deni mbona kutwa wanakopa dukani kwangu?
Ungeacha kujibujibu.Hawa watu si wema.Mwishowe watakuita wee "Kamk.vndv"!250,000
TanganyikaHuu ujinga upo kwa waafrika tu
Ndani ya miaka kumi unaongezewa mshahara Tshs 50,000 unashangulia nn,kweli watumishi ni vichaa,Alafu mkistaafu mnakumbata na vikokotoo,wakati wenzenu wamekaa bungeni miaka 5 tu,wanakunja pension yao Tshs 300,000,000/=.Kiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais, toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka, kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.
TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
Mwendawazimu wewe, mara ngapi umenipiga mizinga?Labda duka la Makopo machafu kutoka jalalani