Jakamageta
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 491
- 953
We ni matter core
Watumisha wa Tanzania 🇹🇿 wanalipwa mishahara midogo sana
Watumisha wa Tanzania 🇹🇿 wanalipwa mishahara midogo sana
Hongera kwa sema ukweli .japo wapumbav wengi watakupondaKiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais,,toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka,,,kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
Ona zezeta hili....Kiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais,,toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka,,,kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
Zimefika,Kiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais,,toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka,,,kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMIS
Matter core 😁😁😁hatari sanaWe ni matter core
Watumisha wa Tanzania 🇹🇿 wanalipwa mishahara midogo sana
Wewe utakuwa mtumishi wa mkuuu... wakoKiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais,,toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka,,,kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
Anajitahidi kwa kweli.Kiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais,,toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka,,,kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
Kama kweli wewe ni mtumishi wa umma, basi utakuwa una uwezo mdogo sana wa kufikiri.Kiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais,,toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka,,,kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
Kiukweli mama amefanya vizur kwa uwezo wake na mambo yanaoneka na ila kwa watumishi ikiwa ataweza kushusha riba ya mikopo ya mabenki kwa watumishi angalau ikawa 13% Kama zamani na akaweza kubadili utaratibu wa kulipa bima ya mkopo kwa mkupuo ikawa Kama zamani kulipa kwa kila mwezi, nakwambia watumishi wengine Sana watamwelewa ,mazingira ya kazi najua ni process yanaboreshwa kulingana na nyakati na mahitaji husika ila arekebishe hayo kura yangu ipo.Kiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais,,toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka,,,kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
Acha wehu. Mie namdai malimbikizo toka 2015Kiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais,,toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka,,,kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
Kwenye masuala ya wafanyakazi, mama kaupiga mwingi, tunakumbuka yaliyotukuta wakati wa JPM.Kiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais,,toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka,,,kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
Kimsingi amejitahidi hatuwez kusema kwamba hajafanya chochote hapana amejitahidi sana lakin angefanya marekebisho hayo maana taarifa zinasema uchumi wetu unaendelea vzr,na mabenki yanatengeneza billions of money Kama faida basi ashushe riba za mikopo japo kidogo tunajua kuwa ushindi ni wake lakin awaone watumishi angalau eneo Hilo.Kwenye masuala ya wafanyakazi, mama kaupiga mwingi, tunakumbuka yaliyotukuta wakati wa JPM.
Wajinga ndiyo husema hivi.Kiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais,,toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka,,,kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
Wenye matatizo ya akili tz wanazidi kuongezeka. Kwa nini uongee bila dataKiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais,,toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka,,,kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
Yaani ungezwe mshahara 250000 halafu ??? Mfano usingeongezwa250,000
Hujielewi wewe. Mtu mwenyewe hata mishahara yako haikutani.Duktur Mama Samier mitano muhimu