Hiyo nyongeza wewe umepata kiasi gani?Kiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais,,toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka,,,kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
kama hatumdai, asigombee basi aje TAL naye tumdaiKiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais,,toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka,,,kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
Huu ujinga upo kwa waafrika tuKiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais,,toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka,,,kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
Watumishi wa umma wa Tanzania leo ni kikundi cha watu wasio JIELEWA. Bila shaka wewe ni miongoni mwa wasaka mishahara tu hapo ulipo usiye na tija yyte kazini.Kiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais,,toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka,,,kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
Sasa wewe una tofauti gani na Lucas?Hata kama hako kanyogeza kamekufurahisha huo utekaji na katiba mbovu havikushughulishi?Kiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais,,toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka,,,kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025.TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI WA UMMA
Haya ndiyo yanasababisha watumishi wa umma muonekane wajinga, eti hakuna deni, pumbavu kabisa kama hakuna deni mbona kutwa wanakopa dukani kwangu?We matrako kweli asee
Huyu shetani atakuwa kafoji chetiAisee kilaza sana mleta mada
Hawa ni UVCCM wameingizwa na dola hawana loloteWatumishi wa umma wa Tanzania leo ni kikundi cha watu wasio JIELEWA. Bila shaka wewe ni miongoni mwa wasaka mishahara tu hapo ulipo usiye na tija yyte kazini.
Umedai hamumdai raisi chochote kisa amepandisha MISHAHARA Swali kwani motivation ya kazi ni mishahara tu???
Vipi kuhusu mazingira ya KAZI? AMEBORESHA KWA KIASI GANI??
Wakati mwingine mkivimbiwa muwe mna kumbuka hali halisi