GE2025 Watumishi wa Umma hatuna deni na Mh Samiah Hassan Suluhu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hongera kwa sema ukweli .japo wapumbav wengi watakuponda
Wanataka Kila raia aitukane serikali na rais .
Wanataka demokrasia alaf ukichagua kupiga kura kwa Samia hawatak
Asa hio ni demokrasia ?
 
Ona zezeta hili....
 
Zimefika,
 
Mtu huna hata ajira lakini kwa kuwa ni chawa wa kujipendekeza unawasemea ambao hata wasiokujua.
 
Wewe utakuwa mtumishi wa mkuuu... wako
 
Anajitahidi kwa kweli.

Binafsi namkubali na ninjau kabisa ana uwezo mkubwa wa kushinda vizuri tu, kwa 60%-70%.

Hana sababu ya kulazimisha uahimdi wa 99% au 100% wa nini?

HAna sababu ya kuumiza watu ambao hawana bata madhara, kwa manufaa gani?
 
Kama kweli wewe ni mtumishi wa umma, basi utakuwa una uwezo mdogo sana wa kufikiri.
 
Kiukweli mama amefanya vizur kwa uwezo wake na mambo yanaoneka na ila kwa watumishi ikiwa ataweza kushusha riba ya mikopo ya mabenki kwa watumishi angalau ikawa 13% Kama zamani na akaweza kubadili utaratibu wa kulipa bima ya mkopo kwa mkupuo ikawa Kama zamani kulipa kwa kila mwezi, nakwambia watumishi wengine Sana watamwelewa ,mazingira ya kazi najua ni process yanaboreshwa kulingana na nyakati na mahitaji husika ila arekebishe hayo kura yangu ipo.
 
Acha
Acha wehu. Mie namdai malimbikizo toka 2015
 
Kwenye masuala ya wafanyakazi, mama kaupiga mwingi, tunakumbuka yaliyotukuta wakati wa JPM.
 
Kwenye masuala ya wafanyakazi, mama kaupiga mwingi, tunakumbuka yaliyotukuta wakati wa JPM.
Kimsingi amejitahidi hatuwez kusema kwamba hajafanya chochote hapana amejitahidi sana lakin angefanya marekebisho hayo maana taarifa zinasema uchumi wetu unaendelea vzr,na mabenki yanatengeneza billions of money Kama faida basi ashushe riba za mikopo japo kidogo tunajua kuwa ushindi ni wake lakin awaone watumishi angalau eneo Hilo.
 
Wajinga ndiyo husema hivi.
 
Wenye matatizo ya akili tz wanazidi kuongezeka. Kwa nini uongee bila data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…