GE2025 Watumishi wa Umma hatuna deni na Mh Samiah Hassan Suluhu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Naungana na wewe. 5 tena
 
ongezeko la elfu 90 ndio unasema maneno yote haya kweli! Miaka 10 yeye akiwa makamu mpaka kuwa raisi jumla 110,000 tu nyongeza! dhambi sana
 
Shida ya mshahara,
Hata uongezewe Bei gani, HAUTOSHI
Sema Watumishi mnalamba asali Sana awamu hii, Hongera
 
Wewe ni daah acha nisikutukane kima ww
 
Nitapigia Kura CCM kwa Mara ya Kwanza, Nani Kama Mama Samia 🤩🤩🤩
 
Mama kuna sehemu kafanya vizuri kama ajira za Walimu kafanya vizuri kaajiri lakini kuna sehemu kazingua pia
 
Usikute nyongeza anayojivunia huyu chawa ni 30,000/= tu. Na huyu siyo Mtumishi wa umma bali UVCCM asiye na ajira rasmi aliyetumwa kujifanya Mtumishi wa umma ili kuwalaghai Watumishi halisi wa umma (ambao nao wamesema safari hii hawadanganyiki).
 
Eti 'watumishi' mafukara nyinyi stress nyingi na simu zenu za mikopo saivi tutakua hatushiki. Mumpigie mama yenu kumlilia shida na madeni
 
Kwa watumishi kwa kweli tunampa heko kubwa mama yetu.

Kupambana na rushwa kwenye taasisi mbalimbali za serikali ndo bado kabisaa
 
Ndani ya miaka kumi unaongezewa mshahara Tshs 50,000 unashangulia nn,kweli watumishi ni vichaa,Alafu mkistaafu mnakumbata na vikokotoo,wakati wenzenu wamekaa bungeni miaka 5 tu,wanakunja pension yao Tshs 300,000,000/=.

Polisi wanaoshirika wizi wa kura wakistaafu Tshs 20,000,000/= yaani polisi ni hopeless sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…