Watumishi wa Umma kucheka au kulia

Itamletea shida Sana ,la awe ameandika barua kurudisha cheo chake anachostahiki !
Afu halmashauri waee hawajafanyia kazi hapo haitasumbua Ila kama kakaa kimya atafurahia shoo mbona!atacheua Senti zote alizokula
 
ni huzuni
 
Reactions: F4B
Dah watumishi n kuonewa mwanzo mwisho..mtetezi wetu yu wapi?..
 

hilo swali nilimuuliza mhuni mmoja idarani kwangu,akatoka mbio.[emoji23][emoji23]

4.8% sijui hata kama waziri wa elimu anaikuta kwa trend ya kushuka,viongozi wa juu kabisa wa idara wanajikita kwenye 13%
 
Subiri siku chache zijazo ndipo utatambua na wewe hujui kitu!!!!
 
Bro,Acha utani, mtumishi gani atafurhia ongezeko dogo kama hili,unajua hii ni annual increment walionyomwa for 6yrs ndio wamepewa?
Mbwembwe zote za kasimu Majaliwa ndo zimekuwa hivyo
 
Asikae kimya anapaswa kutoa taarifa. Ni sawa na ukute pesa kwenye account yako bila kujua alafu uzitumie.
Atakatwa pesa yote iliyozidi na anaweza kuchukuliwa hatua nyingine.
 
Kakupiga fix huyo. Hakuna kitu kama hicho. Nini kimemfanya hadi kuvushwa hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…