Watumishi wa Umma kucheka au kulia

Watumishi wa Umma kucheka au kulia

Waswahili walisema usiku wa deni haukawii kucha. Zimebaki siku chache ili watumishi wa umma nchini waweze kupokea mshahara wao mpya wa mwaka wa fedha 2022-2023.
Kufuatia nyongeza ya 23.3% iliyotangazwa na Mhe Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan siku ya mei mosi 2022, watumishi wengi wamejawa na matumaini makubwa kuwa mishahara yao itapanda walao kwendana na mfuko wa bei hapa nchini.Hata hivyo baada ya kutangazwa kwa nyongeza hiyo palitokea mijadala ya hapa na pale kuhusu ongezeko hilo la 23.3% .Kwa hiyo siku chache zijazo tutegemee watumishi kucheka, kunung'unika au kulia.July Salary-Loading.
Wajiandae kwa kilio cha Kusaga Meno cha UZEENI KIKOKOTOO
cha Asilimia 33
 
Waswahili walisema usiku wa deni haukawii kucha. Zimebaki siku chache ili watumishi wa umma nchini waweze kupokea mshahara wao mpya wa mwaka wa fedha 2022-2023.

Kufuatia nyongeza ya 23.3% iliyotangazwa na Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan siku ya Mei Mosi 2022, watumishi wengi wamejawa na matumaini makubwa kuwa mishahara yao itapanda walao kwendana na mfuko wa bei hapa nchini.

Hata hivyo baada ya kutangazwa kwa nyongeza hiyo palitokea mijadala ya hapa na pale kuhusu ongezeko hilo la 23.3%.

Kwa hiyo siku chache zijazo tutegemee watumishi kucheka, kunung'unika au kulia.July Salary-Loading.
Subiri kulia
 
Ninachoshindwa kuwaelewa ni kuwa mtu unashindwaje kujua utapata shilingi ngapi, wakati
1. Basic pay yako unaijua
2. Asilimia ya ny0ngeza unaijua (23.3%)
3. PAYE unaijua ni asilimia ngapi PLUS fixed PAYE amount kiasi gani kwa kuwepo kwako kwenye kundi fulani la kodi
4. Unajuwa NSSF percentage deduction
5. Unajuwa makato yako ya 2% kwa wanachama wa vyama vya wafanyakazi
6. etc

Kwamba hesabu ndiyo ngumu hadi ungoje kuwa surprised au ni kitu gani?
 
Halafu yanatokea mazuzu machache kwa stress zao za kufiwa na mungu wao,wanamtukana Samia kuwa eti hafai, huyo mtu wao kwa Zaid ya miaka mitano hakuboresha maslai ya umma,zaidi ya kunufaisha watu wake tu,
1. Na wala hakuajiri,
2. Alifukuza vyeti feki lakini total figure iliyolipa mishahara haikushuka
3. Alifukuza wafanyakazi hewa lakini total figure au gharama za mishahara hazikushuka
4. Hakupandisha madaraja, lakini gharama za mishahara zilipanda...

Sasa kilichokuwa hakishushi gharama za mishahara wakati yote hapo juu yamefanyika hakijulikani
 
Ninachoshindwa kuwaelewa ni kuwa mtu unashindwaje kujua utapata shilingi ngapi, wakati
1. Basic pay yako unaijua
2. Asilimia ya ny0ngeza unaijua (23.3%)
3. PAYE unaijua ni asilimia ngapi PLUS fixed PAYE amount kiasi gani kwa kuwepo kwako kwenye kundi fulani la kodi
4. Unajuwa NSSF percentage deduction
5. Unajuwa makato yako ya 2% kwa wanachama wa vyama vya wafanyakazi
6. etc

Kwamba hesabu ndiyo ngumu hadi ungoje kuwa surprised au ni kitu gani?
23% ni kwa watumishi wote? Sidhani ndio maana watu wapo kwenye puzzle
 
Ninachoshindwa kuwaelewa ni kuwa mtu unashindwaje kujua utapata shilingi ngapi, wakati
1. Basic pay yako unaijua
2. Asilimia ya ny0ngeza unaijua (23.3%)
3. PAYE unaijua ni asilimia ngapi PLUS fixed PAYE amount kiasi gani kwa kuwepo kwako kwenye kundi fulani la kodi
4. Unajuwa NSSF percentage deduction
5. Unajuwa makato yako ya 2% kwa wanachama wa vyama vya wafanyakazi
6. etc

Kwamba hesabu ndiyo ngumu hadi ungoje kuwa surprised au ni kitu gani?
Mkuu sana kumbuka hapo kati Kuna mjadala ulitokea ukisema nyongeza Yao itakuwa kwa kukokotolewa na Wala sio flat rate 23.3% ndo maana nikaandika watumishi kucheka, kunung'unika au kulia??
 
Sasa kama ni hivyo ina maana kuna watu hawajui wataongezwa asilimia ngapi..!!! Na pengine, wengine si sehemu ya watakaopata nyongeza...!! Hivi, kwa namna ilivyosemwa, hiyo 23.3% itaongezwa kwa akina nani? Kama haijulikani BASI NI CHANGA LA MACHO HILOOO..!!!
 
Ninachoshindwa kuwaelewa ni kuwa mtu unashindwaje kujua utapata shilingi ngapi, wakati
1. Basic pay yako unaijua
2. Asilimia ya ny0ngeza unaijua (23.3%)
3. PAYE unaijua ni asilimia ngapi PLUS fixed PAYE amount kiasi gani kwa kuwepo kwako kwenye kundi fulani la kodi
4. Unajuwa NSSF percentage deduction
5. Unajuwa makato yako ya 2% kwa wanachama wa vyama vya wafanyakazi
6. etc

Kwamba hesabu ndiyo ngumu hadi ungoje kuwa surprised au ni kitu gani?
Hiyo 23% siyo kwa kila mfanyakazi. % huwa inaenda inapungua kadri mshahara unavyokuwa mkubwa.
 
Sasa kama ni hivyo ina maana kuna watu hawajui wataongezwa asilimia ngapi..!!! Na pengine, wengine si sehemu ya watakaopata nyongeza...!! Hivi, kwa namna ilivyosemwa, hiyo 23.3% itaongezwa kwa akina nani? Kama haijulikani BASI NI CHANGA LA MACHO HILOOO..!!!
Kuna ujanja ujanja wa kiswahili ulitumika some hizo aya za mwanzo
Screenshot_20220717-160636.png
 
Kuna waliiba Hela benki wakashindwa kuhesabia mwenzao Moja akawaps ushauri wezi wenzake akasema tusubiri taarifa ya jabari saa mbili usiku, halafu umkute rpc wa kisiasa lazima ataje kiasi kikubwa Ili mgombane wezi huko mlipo na kwa mwigulu unaweza Kufanya hichi kuwa alichoingeza ni bajeti ya mshahara kwa hiyo asilimia hii imepanda kutokana na ajira mpya
 
Ninachoshindwa kuwaelewa ni kuwa mtu unashindwaje kujua utapata shilingi ngapi, wakati
1. Basic pay yako unaijua
2. Asilimia ya ny0ngeza unaijua (23.3%)
3. PAYE unaijua ni asilimia ngapi PLUS fixed PAYE amount kiasi gani kwa kuwepo kwako kwenye kundi fulani la kodi
4. Unajuwa NSSF percentage deduction
5. Unajuwa makato yako ya 2% kwa wanachama wa vyama vya wafanyakazi
6. etc

Kwamba hesabu ndiyo ngumu hadi ungoje kuwa surprised au ni kitu gani?
Hata wew hujui mkuu
 
Back
Top Bottom