dinongo
JF-Expert Member
- Jun 25, 2022
- 814
- 1,054
Na hikiwa sivyo unavyofikiria bado utakuja kulaumu piaTunajua kinachoendelea, we subiri tu siku ifike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hikiwa sivyo unavyofikiria bado utakuja kulaumu piaTunajua kinachoendelea, we subiri tu siku ifike.
Mkuu salary slip wewe huwa nakuaminia sio wa mchezo mchezo isije ikatokea mtumishi akaongezewa chini ya 10%Subiri kilio na frustrations kutoka kwa watumishi kwani watachokutanacho, kitakuwa tofauti na matarajio yao.
Wajiandae kwa kilio cha Kusaga Meno cha UZEENI KIKOKOTOOWaswahili walisema usiku wa deni haukawii kucha. Zimebaki siku chache ili watumishi wa umma nchini waweze kupokea mshahara wao mpya wa mwaka wa fedha 2022-2023.
Kufuatia nyongeza ya 23.3% iliyotangazwa na Mhe Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan siku ya mei mosi 2022, watumishi wengi wamejawa na matumaini makubwa kuwa mishahara yao itapanda walao kwendana na mfuko wa bei hapa nchini.Hata hivyo baada ya kutangazwa kwa nyongeza hiyo palitokea mijadala ya hapa na pale kuhusu ongezeko hilo la 23.3% .Kwa hiyo siku chache zijazo tutegemee watumishi kucheka, kunung'unika au kulia.July Salary-Loading.
Subiri kilio na frustrations kutoka kwa watumishi kwani watachokutanacho, kitakuwa tofauti na matarajio yao.
Subiri kuliaWaswahili walisema usiku wa deni haukawii kucha. Zimebaki siku chache ili watumishi wa umma nchini waweze kupokea mshahara wao mpya wa mwaka wa fedha 2022-2023.
Kufuatia nyongeza ya 23.3% iliyotangazwa na Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan siku ya Mei Mosi 2022, watumishi wengi wamejawa na matumaini makubwa kuwa mishahara yao itapanda walao kwendana na mfuko wa bei hapa nchini.
Hata hivyo baada ya kutangazwa kwa nyongeza hiyo palitokea mijadala ya hapa na pale kuhusu ongezeko hilo la 23.3%.
Kwa hiyo siku chache zijazo tutegemee watumishi kucheka, kunung'unika au kulia.July Salary-Loading.
Yote heri kama walilia miaka 5 sembuse hiiSubiri kulia
Ninachoshindwa kuwaelewa ni kuwa mtu unashindwaje kujua utapata shilingi ngapi, wakatiWaswahili walisema usiku wa deni haukawii kucha. Zimebaki siku chache ili watumishi wa umma nchini waweze kupokea mshahara wao mpya wa mwaka wa fedha 2022-2023.
Kufuatia nyongeza ya 23.3% iliyotangazwa na Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan siku ya Mei Mosi 2022, watumishi wengi wamejawa na matumaini makubwa kuwa mishahara yao itapanda walao kwendana na mfuko wa bei hapa nchini.
Hata hivyo baada ya kutangazwa kwa nyongeza hiyo palitokea mijadala ya hapa na pale kuhusu ongezeko hilo la 23.3%.
Kwa hiyo siku chache zijazo tutegemee watumishi kucheka, kunung'unika au kulia.July Salary-Loading.
1. Na wala hakuajiri,Halafu yanatokea mazuzu machache kwa stress zao za kufiwa na mungu wao,wanamtukana Samia kuwa eti hafai, huyo mtu wao kwa Zaid ya miaka mitano hakuboresha maslai ya umma,zaidi ya kunufaisha watu wake tu,
23% ni kwa watumishi wote? Sidhani ndio maana watu wapo kwenye puzzleNinachoshindwa kuwaelewa ni kuwa mtu unashindwaje kujua utapata shilingi ngapi, wakati
1. Basic pay yako unaijua
2. Asilimia ya ny0ngeza unaijua (23.3%)
3. PAYE unaijua ni asilimia ngapi PLUS fixed PAYE amount kiasi gani kwa kuwepo kwako kwenye kundi fulani la kodi
4. Unajuwa NSSF percentage deduction
5. Unajuwa makato yako ya 2% kwa wanachama wa vyama vya wafanyakazi
6. etc
Kwamba hesabu ndiyo ngumu hadi ungoje kuwa surprised au ni kitu gani?
Mkuu sana kumbuka hapo kati Kuna mjadala ulitokea ukisema nyongeza Yao itakuwa kwa kukokotolewa na Wala sio flat rate 23.3% ndo maana nikaandika watumishi kucheka, kunung'unika au kulia??Ninachoshindwa kuwaelewa ni kuwa mtu unashindwaje kujua utapata shilingi ngapi, wakati
1. Basic pay yako unaijua
2. Asilimia ya ny0ngeza unaijua (23.3%)
3. PAYE unaijua ni asilimia ngapi PLUS fixed PAYE amount kiasi gani kwa kuwepo kwako kwenye kundi fulani la kodi
4. Unajuwa NSSF percentage deduction
5. Unajuwa makato yako ya 2% kwa wanachama wa vyama vya wafanyakazi
6. etc
Kwamba hesabu ndiyo ngumu hadi ungoje kuwa surprised au ni kitu gani?
Sasa kama ni hivyo ina maana kuna watu hawajui wataongezwa asilimia ngapi..!!! Na pengine, wengine si sehemu ya watakaopata nyongeza...!! Hivi, kwa namna ilivyosemwa, hiyo 23.3% itaongezwa kwa akina nani? Kama haijulikani BASI NI CHANGA LA MACHO HILOOO..!!!Mkuu sana kumbuka hapo kati Kuna mjadala ulitokea ukisema nyongeza Yao itakuwa kwa kukokotolewa na Wala sio flat rate 23.3% ndo maana nikaandika watumishi kucheka, kunung'unika au kulia??
NI kweli, hiyo ni ndogo kwa maana ya mpokeaji, lakini mtoaji, kaongeza almost robo ya gharama ya mishahara kwa uzalishaji ule uleHiyo asilimia ni ndogo sana la maana ni kuangalia tu namna ya kujiongeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze upya hesabu [emoji16]Mwl w tgts f jiandae kwà 280000 ongezeko la 1235000
Hiyo 23% siyo kwa kila mfanyakazi. % huwa inaenda inapungua kadri mshahara unavyokuwa mkubwa.Ninachoshindwa kuwaelewa ni kuwa mtu unashindwaje kujua utapata shilingi ngapi, wakati
1. Basic pay yako unaijua
2. Asilimia ya ny0ngeza unaijua (23.3%)
3. PAYE unaijua ni asilimia ngapi PLUS fixed PAYE amount kiasi gani kwa kuwepo kwako kwenye kundi fulani la kodi
4. Unajuwa NSSF percentage deduction
5. Unajuwa makato yako ya 2% kwa wanachama wa vyama vya wafanyakazi
6. etc
Kwamba hesabu ndiyo ngumu hadi ungoje kuwa surprised au ni kitu gani?
Kuna ujanja ujanja wa kiswahili ulitumika some hizo aya za mwanzoSasa kama ni hivyo ina maana kuna watu hawajui wataongezwa asilimia ngapi..!!! Na pengine, wengine si sehemu ya watakaopata nyongeza...!! Hivi, kwa namna ilivyosemwa, hiyo 23.3% itaongezwa kwa akina nani? Kama haijulikani BASI NI CHANGA LA MACHO HILOOO..!!!
Hata wew hujui mkuuNinachoshindwa kuwaelewa ni kuwa mtu unashindwaje kujua utapata shilingi ngapi, wakati
1. Basic pay yako unaijua
2. Asilimia ya ny0ngeza unaijua (23.3%)
3. PAYE unaijua ni asilimia ngapi PLUS fixed PAYE amount kiasi gani kwa kuwepo kwako kwenye kundi fulani la kodi
4. Unajuwa NSSF percentage deduction
5. Unajuwa makato yako ya 2% kwa wanachama wa vyama vya wafanyakazi
6. etc
Kwamba hesabu ndiyo ngumu hadi ungoje kuwa surprised au ni kitu gani?
Du anuyejua akuje huku hili ni jukwaa la watu mbali mbaliHata wew hujui mkuu