Tetesi: Watumishi wa Umma kupandishwa madaraja karibuni

Kiukweli tunafarijika sana kuona sisi waajiriwa wa serikali mama akitukumbuka,Hatimaye tunaenda kupanda daraja kwa mara nyingine baada ya kupanda 2021, kongole Mama yetu tunakupenda sana yani mitano tena.
Vipi kuhusu Kikotoo? Bunge na serikali waliamuaje?
 
Kiukweli tunafarijika sana kuona sisi waajiriwa wa serikali mama akitukumbuka,Hatimaye tunaenda kupanda daraja kwa mara nyingine baada ya kupanda 2021, kongole Mama yetu tunakupenda sana yani mitano tena.
Hizi slogan za kipumbaf kwa haki zenu wenyewe mnasaidiwa kufikiri na kuziandika au kuna mtu anawalipa?

Kupandishwa madaraja ama cheo ni haki ya mfanyakazi siyo zawadi wala hisani, punguza uchawa.
 
Back
Top Bottom