Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Mitano kwake ni ya uhakika, hilo daraja, ni kama kujifariji, ishi kwa matumaini, na nyiongeza ya mshahara sambamba na kupanda daraja, labda ndotoni! Sikukuu ya wafanyakazi,Kiukweli tunafarijika sana kuona sisi waajiriwa wa serikali mama akitukumbuka.
Hatimaye tunaenda kupanda daraja kwa mara nyingine baada ya kupanda 2021.
Kongole Mama yetu, tunakupenda sana, yaani mitano tena.
hakuona umuhimu wa kuhudhuria. Tetesi kama tetesi, mtaisahau muda ukiwadia!