Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Nimesikia June lo.Tayari...
Ngoja tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesikia June lo.Tayari...
Kwa akili hizi,hakika watumishi wa umma ni mazuzu na wapumbavu.
Kwa hii habari tegemea kuporomoshewa matusi na hasira za vijana wa Mbowe.Kuongoza watanzania ni rahisi kuliko kuongoza kondoo.
Waibie milion moja halafu wape mchele kilo tano kama zawadi watakupigia makofi.
Umesoma waraka uliotoka majuzi?Hivi mtumishi aliye fanyiwa Recategorization mwaka 2020 mwezi wa 8 anaweza kupanda daraja mwaka huu au mpaka mwakani?
NdioWaliopanda 2021 mwaka huu watapanda?
Ndio
Huu huu JuneMabadiliko ya mshahara ni mwezi upi?
Bora akili mbovu, huyo hana hata hiyo mbovuunashangilia katili kukupa haki yako? Akili mbovu kabisa
Huu huu June
Huna option zingine zaidi ya mshahara?Kiukweli tunafarijika sana kuona sisi waajiriwa wa serikali mama akitukumbuka.
Hatimaye tunaenda kupanda daraja kwa mara nyingine baada ya kupanda 2021.
Kongole Mama yetu, tunakupenda sana, yaani mitano tena.
Kilo tano nyingi mkuu, watu wanapewa kanga na wanapiga makofi 😃Kuongoza watanzania ni rahisi kuliko kuongoza kondoo.
Waibie milion moja halafu wape mchele kilo tano kama zawadi watakupigia makofi.
Oh mwez wa asali iv ongezeko linaweza fika 100k.Huu huu June
Huu ni muendelezo tuu wa mengi mazuri ambayo Rais Samia amefanya Kwa Watumishi wa umma.Kiukweli tunafarijika sana kuona sisi waajiriwa wa serikali mama akitukumbuka.
Hatimaye tunaenda kupanda daraja kwa mara nyingine baada ya kupanda 2021.
Kongole Mama yetu, tunakupenda sana, yaani mitano tena.
Huu ni muendelezo tuu wa mengi mazuri ambayo Rais Samia amefanya Kwa Watumishi wa umma.
Hawajaanza Leo kuoandishwa madaraja na Samia ,toka ameingia amewapandisha madaraja,amelipa madai Yao na akawapandishia salary hasa wale wa chini.
Amewanunulia vitendea kazi,na ameajiri maelfu.Ukiacha JK aliyewatebdea vyema Watumishi ni Samia.
View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1797944254141964609?t=alqhVWwf7ofZCbStg_KfKg&s=19
View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1797975781328458168?t=3EsCLR2Pj0OL9dAm78IAKg&s=19
Kupanda daraja ni haki yako, haihusiani na sifa za kijuha unazo ambatisha katika uzi wako.Kiukweli tunafarijika sana kuona sisi waajiriwa wa serikali mama akitukumbuka.
Hatimaye tunaenda kupanda daraja kwa mara nyingine baada ya kupanda 2021.
Kongole Mama yetu, tunakupenda sana, yaani mitano tena.