Tetesi: Watumishi wa Umma kupandishwa madaraja karibuni

Hivi mtumishi aliye fanyiwa Recategorization mwaka 2020 mwezi wa 8 anaweza kupanda daraja mwaka huu au mpaka mwakani?
 
Kiukweli tunafarijika sana kuona sisi waajiriwa wa serikali mama akitukumbuka.

Hatimaye tunaenda kupanda daraja kwa mara nyingine baada ya kupanda 2021.

Kongole Mama yetu, tunakupenda sana, yaani mitano tena.
Jaribu kuwa na kifua Mtumishi, friji lako bovu kweli kweli haliwezi kugandisha kabisaaaa maaana ukipata taarifa kifua chako kinavimba mithili ya Njiwa dume akiwa na Upwiru ona sasa umemwaga mtama. Tunaowaddai huku kitaa tutabanana sasa.
 
Yote haya ni katika kumpongeza Mama yetu kwa kujali maslahi ya watumishi
 
Nadhani mwaka huu ingawa sina uhakika zana
Nimemcheki afisa utumishi ananiambia ni kweli kwa mujibu wa muongozo mpya ambao wameupata,anatakiwa apande daraja mwaka huu.

Lakini kwa mujibu wa muongozo wa zamani angepanda mwakani.
 
bac ni jambo jema
 
Kiukweli tunafarijika sana kuona sisi waajiriwa wa serikali mama akitukumbuka.

Hatimaye tunaenda kupanda daraja kwa mara nyingine baada ya kupanda 2021.

Kongole Mama yetu, tunakupenda sana, yaani mitano tena.
Iwe ni pamoja na kuboresha maslahi yao
Nauli kwenda na kurudii kazini
Nyumba
Communication allowance
 
Back
Top Bottom