Tetesi: Watumishi wa Umma kupandishwa madaraja karibuni

Tetesi: Watumishi wa Umma kupandishwa madaraja karibuni

Kwan mkataba wako wa ajira una ukumbuka masharti yako na mashart ya muajir,

Unapopand cheo cha kimuundo inakuw kama offer 😊😨

Tz inaweza kuongozwa na mtu yoyote .🤛🤜
 
Hebu kuweni serious basi. Ni june au july?Wengine june wengine july. Tushike lipi huku mtaani?
 
Baadhi ya watumishi wa umma mjiandae tu kupigwa na kitu kizito pale tu mshahara wenu utakapotoka mwezi huu. Hamtaamini macho yenu nawaambia.
 
Mada inaongelea kupandishwa madaraja. Ila kutokana na ubabaishaji uliotamalaki serikalini. Lolote linaweza kutokea kwa baadhi watumishi wenye hizo sifa za kupandishwa mwezi huu.
Hapo sawa mkuu. Hilo linajulikana sana ingawa madogo hawataelewa. Ndani ya miez mitatu Kila mtu atapata anachostahili.
 
Kuongoza watanzania ni rahisi kuliko kuongoza kondoo.
Waibie milion moja halafu wape mchele kilo tano kama zawadi watakupigia makofi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dah
 
NAsikia ukicheki kwenye pepmis unaona..😂
 
Back
Top Bottom