Mitano kwake ni ya uhakika, hilo daraja, ni kama kujifariji, ishi kwa matumaini, na nyiongeza ya mshahara sambamba na kupanda daraja, labda ndotoni! Sikukuu ya wafanyakazi,
hakuona umuhimu wa kuhudhuria. Tetesi kama tetesi, mtaisahau muda ukiwadia!