Watumishi wa UMMA tujiandae kuumia tena kwa miaka 5

pole sana mwamba
 
How is this possible?

KWELI CCM nomaaa..

Pole sanaa broo
😭😭😭😭

#YNWA
 
Acha Kazi

Na haya ndiyo majibu ya Watanzania! Anakujibu acha kazi ana sahau kama mtumishi ana haki na sheria inayomlinda! Badala ya kusimama na mtumishi kuona ni namna gani hizo haki na sheria zinalindwa!

Watanzania hatupendani!

Badala ya kujadili katika kutafuta solution ya kumsaidia mtumishi, tunatoa majibu hovyo hovyo!!

Huyu unaweza kuta ndiyo mjomba wako anayekulipia ada na upo nyumbani umesimamishwa masomo!
 
MODER

MODERATOR.

Heading....

Kwenye heading naomba isomeke KUUMIA na sio KUTUMIA.

""

Watumishi wa UMMA tujiandae kutumia tena kwa miaka 5"" iwe ""​

Watumishi wa UMMA tujiandae kuumia tena kwa miaka 5""​

Thanks.

#YNWA
Una hakika ni mitano
 
Maandamano yasiyo na ukomo yameanza London, Paris, Sweden
Watakoma na baridi la Ulaya kwa upuuzi wao maana ndio linaanza hapa bongo mvua tu ikinyesha watu hawaaandamani
 
Mi ni mtumishi wa umma mwenye TGS C2.

Ila kiuhalali ilipaswa ni TGS E.

Ila kwa kuwa mwenyekiti wako ni JIWE lisilosikia.

Kanidhulumu maadaraja yangu na increment yangu.

Mwambie Mungu anamuona.

#YNWA
Hapo kwa dadako fukara ww ndio TGS E
 
Tutajuta kuzaliwa Tanzania. Halafu akina Ndugai wanabadili katiba 2024 ili Jiwe aendelee baada ya 2025! Mashujaa wale waliomtoa Karume madarakani 1972 sijui walikwenda wapi?
Halafu walimtoa kiulaini.
 
Nan akupende wakat ww mwenyew hujipendi?

Relax. Fata taratibu pale unapoona Haki zako hazifatwi ndio maana Kuna Labor Law na Ile ya Code of G Conduct na zingine nyingi, umejaribu kuzisoma?

Umechukua hatua Gani?

Pili, mkuu kasema ataongeza Mishahara, tulia
 
Tutajuta kuzaliwa Tanzania. Halafu akina Ndugai wanabadili katiba 2024 ili Jiwe aendelee baada ya 2025! Mashujaa wale waliomtoa Karume madarakani 1972 sijui walikwenda wapi?
Kweli tutajuta Mkuu. Ukiona kiongozi yoyote anafanya mipango ya kutaka aongezwe muda was Kutawala dhidi ya Katiba ya Nchi in mwanzo was Kiongozi Hugo kuwa Dikteta.

Ndivyo wote walivyoanza
 
Tutajuta kuzaliwa Tanzania. Halafu akina Ndugai wanabadili katiba 2024 ili Jiwe aendelee baada ya 2025! Mashujaa wale waliomtoa Karume madarakani 1972 sijui walikwenda wapi?
Waliuliwa
 
Hakuna jipya chini ya jua. Rushwa iko pale pale. Upigaji uko pale pale, utamulikwa ikiwa yeye hajahusishwa. Mashuleni watu wanalipa kama kawaida, kwani elimu bora ina gharama zake. Ujenzi mkubwa kwa sasa unawanyonya wananchi, wanaolipa kodi kila uchwao na wasiopewa haki ya kuchagua wamtakaye, kupata habari na kutoa maoni yao katika nchi huru ya Tz., ukizingatia teknolojia inaruhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…