Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

Mliajiriwa serikalini kazi IPO,
Ngoja na mimi nianze Kwa vibarua huku majarubani, kabila na din!
 
Hizi ni taarifa za kawaida kwenye mikataba ya Ajira serikalini.Mtoa mada inawezekana Kuna Jambo la ziada unalojua au umejenga hofu tu.Suala la kumlalamikia Rais Samia halina mashiko kwasababu huu ni utaratibu Wa siku nyingi.
 
TRIBLE ni kingreza cha kabila aunTRIBE ??
Hii ndiyo elimu ya waajiri wetu
 
Kwamba hadi gesiti hausi huu utaratibu upo tokea kitambo
Siku moja niliitwa Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mahojiano fulani, waliponiuliza kabila niliwaambia mimi sina kabila. Wao walinijibu haiwezekani ukawa huna kabila.
 
Mimi sio muajiriwa wa Utumisi ila kwa haraka haraka nikisoma hilo dodoso ulilo ambatanisha limelenga kuwa tambua wale wenye uraia wa mashaka. Hayo maswali yaweza kuwa yameingia ila hayaoneshi kuwa na nia mbaya japo naweza kusahihishwa!
from Great Thinker!
 
Magufuli hakua mdini, kwa kumbukumbu zangu zilivyo aliwatumbua na kuwaadhibu viongozi wengi Sana wa kikristo na wengine waliishia jela.
Labda sijui usemaje, Ila kwenye udini big NO
Lazima umtetee ,sababu mkristo mwenzio na msukuma mwenzio ngeke wewe!
 
"Mnaulizana makabila kwani mnataka kutambika?"By Jk Nyerere.
 
Uliwahi sikia msabato gaidi?
 
Uzuri wa dini unaweza badili wakati wowote ule unapojisikia na ukawa Leo unadini na kesho huna dini.
 
Naunga mkono tutambuane kuna dini namakabila Fulani yanatakakujifanya hii nchi niyakwao pekeyao hawataki wengine waitumikie ndani yamfumo
 
Mkuu usiogope. Hiyo inaitwa upekuzi, Kiingereza ni vetting. Tunataka tuwajue warundi na warwanda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…