Tunaingiza mfumo mpya wa republic of islamic of Tanzania
Huo umeasisiwa Vatican haufutiki kwa wishfull thinking.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo umeasisiwa Vatican haufutiki kwa wishfull thinking.
Kwahiyo ukibadili dini unaenda kubadili tena taarifa zako? Na sie wengine hatujui ni kabila gani ukiniuliza kabila nakutajia lolote tu nitakalojisikia.Mbona mahakamani police unaulizwa dini yako kabla ya kutoa ushahidi au maelezo uhoji inasadia ata wkt wa teuzi kubwa kujua ili wakt wa kiapo usimpe shida k/kiongozi akupe kitabu gani msaafu au biblia wkt wa kuapa au ata utakapokufawajue uzikwe kwa dini gani au uandaliwe kwa dini gani
Uulizwe wapi sasa kwenye pineapple republic?Hizo taarifa ndo uulizwe kwenye resume/ CV?
Typical banana republic stuff.
Mambo ya benefits huja baada ya mtu kupewa ofa ya kazi na yeye kuikubali ofa hiyo.Uulizwe wapi sasa kwenye pineapple republic?
Kama vile wako immigration office wanajaza fomu za kuomba passportHabari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie hili Taifa.
Wengine bado tunataka kuliona Taifa letu likiwa moja.
Vyombo vya usalama, basi mshaurini mheshimiwa Rais vizuri, msijisahau sana mkaiacha nchi kwenye auto-pilot.
Niwakumbusheni Taifa hili halikujengwa kwa matofali, la hasha!
Mpitisheni Mh. Rais katika historia ndogo ndogo zile njema, zilizotufanya Watanzania japo tukawa wamoja, potelea pote na umaskini wetu.
Sasa hamuwezi amini, leo hii Hazina inaomba taarifa za watumishi (CV), na miongoni mwa taarifa wanazotakiwa kujaza hao watumishi ni:-
1. Kabila lako .....
2. Dini yako .......
Zipo taarifa zingine, za kipuuzi zinazoombwa, ila haina haja sana kuzitaja, kwani hazina athari sana kama hizi mbili.
Hivi kweli, leo mnataka DINI ya mtumishi, iwasaidie nini?
Hii taarifa mnaitumia kuboresha nini?
Udini wa nini katika Tz ya leo.
Tuna ajenda gani na Dini za watu, (watumishi). DINI, DINI.....DINI...!!!!?....,leo tunauliza DINI yako ni ipi? Kweli mh. Rais Samia.
Halafu mnataka na KABILA, kabila la mtumishi litumike kuboresha nini?
Mna ajenda gani huko?
KABILA, leo mnamuuliza mtu KABILA. Kweli mh Rais Samia , ulisema wewe huna kabila, sijui ni Mzanzibar, sasa hawa watumishi, karne ya 21, mwaka 2022, wawajazie makabila yao, muyajue, myafanyie nini?!
Mh Rais Samia, hebu kataa mambo mengine.
Siku Taifa hili likiparaganyika mikononi mwako, hao unaowaona, watakukataa.
Mfumo wa CV (format) na taarifa zinazotakiwa nimeambatanisha hapa.
denooJ , MTAZAMO , barafu , Tindo , Chige , shige2 , Malcolm X5 , MALCOM LUMUMBA ,
Msiwe mnaongea vitu bila kujua maana yake. Polisi wanauliza kabila au dini maana makosa ya jinai yanaweza kufanyika kutokana na mila za watu au dini ya mtu. Mfano Mjahidina wanaona ni fahari kujitoa mhanga. Hospitali wanauliza kabila kwa vile magonjwa mengine ni ya kurithi au yanasababishwa na imani. Mfano ulaji wa vyakula fulani. Je, umuhimu wa kabila na Dini kiserikali ni upi, kama si kwa ajili ya kubaguana?Mbona hizi form tumijaza tangu enzi za ukoloni na hata ukienda Polisiau hospitali unaulizwa? Mahakamani kwa kina mbowe na wenziye sasa hivi wanauliza. Kabila ni asili yetu, tunazifurahia (kutuunganisha) bila kuziabudu kututenganisha kama CHADEMA wanavyofanya.
Kweli kabisa hii ni mbaya. Mie kwenye Dini na Kabila nimeacha blank!Habari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie hili Taifa.
Wengine bado tunataka kuliona Taifa letu likiwa moja.
Vyombo vya usalama, basi mshaurini mheshimiwa Rais vizuri, msijisahau sana mkaiacha nchi kwenye auto-pilot.
Niwakumbusheni Taifa hili halikujengwa kwa matofali, la hasha!
Mpitisheni Mh. Rais katika historia ndogo ndogo zile njema, zilizotufanya Watanzania japo tukawa wamoja, potelea pote na umaskini wetu.
Sasa hamuwezi amini, leo hii Hazina inaomba taarifa za watumishi (CV), na miongoni mwa taarifa wanazotakiwa kujaza hao watumishi ni:-
1. Kabila lako .....
2. Dini yako .......
Zipo taarifa zingine, za kipuuzi zinazoombwa, ila haina haja sana kuzitaja, kwani hazina athari sana kama hizi mbili.
Hivi kweli, leo mnataka DINI ya mtumishi, iwasaidie nini?
Hii taarifa mnaitumia kuboresha nini?
Udini wa nini katika Tz ya leo.
Tuna ajenda gani na Dini za watu, (watumishi). DINI, DINI.....DINI...!!!!?....,leo tunauliza DINI yako ni ipi? Kweli mh. Rais Samia.
Halafu mnataka na KABILA, kabila la mtumishi litumike kuboresha nini?
Mna ajenda gani huko?
KABILA, leo mnamuuliza mtu KABILA. Kweli mh Rais Samia , ulisema wewe huna kabila, sijui ni Mzanzibar, sasa hawa watumishi, karne ya 21, mwaka 2022, wawajazie makabila yao, muyajue, myafanyie nini?!
Mh Rais Samia, hebu kataa mambo mengine.
Siku Taifa hili likiparaganyika mikononi mwako, hao unaowaona, watakukataa.
Mfumo wa CV (format) na taarifa zinazotakiwa nimeambatanisha hapa.
denooJ , MTAZAMO , barafu , Tindo , Chige , shige2 , Malcolm X5 , MALCOM LUMUMBA ,
Uchifu haujawahi kufutwa Tanzania ila yale mamlaka na priviledges za kichifu ndo ziliondolewa. Marais wote kuanzia Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli walisimikwa uchifu katika maeneo mbalimbali ya nchi. Hata akina Tundu Lissu na Mnyika wameshasimikwa uchifu katika ziara zao mbalimbali
Alafu mkishajua?Tunataka kujua Wachaga wako wangapi
Kama huo mfumo upo,hawawezi kuuvunja,japo sina hakika kama huo mfumo upo.Mama anataka kufanya usawa wa kidini kwenye uteuzi.
Huoni leo akiteua mkirito lazima ateue na musilamu, akiondoa mkiristo anaweka muislamu.
Angalia baraza la mawaziri toka ameingia, ameondoa wakristo 7 akateua waislamu 7 ila akawawekea wasaidizi wakristo.
Yeye mama akiteua boss muislamu basi msaidizi wake ni mkiristo.
Kwa sasa anataka dini zenu ili anapofanya uteuzi ajue wewe ni dini gani akupe ama ampe mwingine.
Wanasema wanataka kuvunja mfumo kristo.
Baba wa Taifa ktk moja ya hotuba zake zenye upeo wa juu sana, alisema suala la kujua Dini za Watanzania, waachiwe Maaskofu na Mashehe huko Makanisani na Misikitini. Na pia alisisitiza kuhsu Ukabila, na kusema ktk mipango ya Serikali au Utumishi wake, masula ya DINI na UKABILA hayana mashiko kuyajua. Alisisitiza, wanao-angaliwa ni WATANZANIA.Habari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie hili Taifa.
Wengine bado tunataka kuliona Taifa letu likiwa moja.
Vyombo vya usalama, basi mshaurini mheshimiwa Rais vizuri, msijisahau sana mkaiacha nchi kwenye auto-pilot.
Niwakumbusheni Taifa hili halikujengwa kwa matofali, la hasha!
Mpitisheni Mh. Rais katika historia ndogo ndogo zile njema, zilizotufanya Watanzania japo tukawa wamoja, potelea pote na umaskini wetu.
Sasa hamuwezi amini, leo hii Hazina inaomba taarifa za watumishi (CV), na miongoni mwa taarifa wanazotakiwa kujaza hao watumishi ni:-
1. Kabila lako .....
2. Dini yako .......
Zipo taarifa zingine, za kipuuzi zinazoombwa, ila haina haja sana kuzitaja, kwani hazina athari sana kama hizi mbili.
Hivi kweli, leo mnataka DINI ya mtumishi, iwasaidie nini?
Hii taarifa mnaitumia kuboresha nini?
Udini wa nini katika Tz ya leo.
Tuna ajenda gani na Dini za watu, (watumishi). DINI, DINI.....DINI...!!!!?....,leo tunauliza DINI yako ni ipi? Kweli mh. Rais Samia.
Halafu mnataka na KABILA, kabila la mtumishi litumike kuboresha nini?
Mna ajenda gani huko?
KABILA, leo mnamuuliza mtu KABILA. Kweli mh Rais Samia , ulisema wewe huna kabila, sijui ni Mzanzibar, sasa hawa watumishi, karne ya 21, mwaka 2022, wawajazie makabila yao, muyajue, myafanyie nini?!
Mh Rais Samia, hebu kataa mambo mengine.
Siku Taifa hili likiparaganyika mikononi mwako, hao unaowaona, watakukataa.
Mfumo wa CV (format) na taarifa zinazotakiwa nimeambatanisha hapa.
denooJ , MTAZAMO , barafu , Tindo , Chige , shige2 , Malcolm X5 , MALCOM LUMUMBA ,
Sasa mbona serikali yake ilikuwa inataka kujua jinsia ya mtu ilitaka kuchumbia?Baba wa Taifa ktk moja ya hotuba zake zenye upeo wa juu sana, alisema suala la kujua Dini za Watanzania, waachiwe Maaskofu na Mashehe huko Makanisani na Misikitini. Na pia alisisitiza kuhsu Ukabila, na kusema ktk mipango ya Serikali au Utumishi wake, masula ya DINI na UKABILA hayana mashiko kuyajua. Alisisitiza, wanao-angaliwa ni WATANZANIA.
Sasa hao wanaotaka kujaribu kumwaga kimiminika cha Petrol kwenye moto...acha waendelee...
Unadhani jambo hili lina tija ?Kwenye rekodi za ajira wanaweka mpaka kabila la mtu, dini, kijiji anachotokea, mtu maarufu kijijini kwao n.k
Walioajiriwa wanajua hili. Hiyo ni mwanzoni kabisa wakati faili linafunguliwa.
Acheni kupotosha watu
HAKUNA Mfumo Kristo Tanzania ni nadharia ya kipumbavu tu.Mama anataka kufanya usawa wa kidini kwenye uteuzi.