BIG THINKER
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 680
- 1,436
Kaz kwel kwel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inahusu benefits anazopata muajiriwa: bima ya afya na nauli ya likizoTanzania ni nchi ya kijinga sana.
Sasa kwa mfano hali ya ndoa ya mtu inahusu nini? Inahusiana nini na kazi aifanyayo mtu?
Siku moja niliitwa Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mahojiano fulani, waliponiuliza kabila niliwaambia mimi sina kabila. Wao walinijibu haiwezekani ukawa huna kabila.Kwamba hadi gesiti hausi huu utaratibu upo tokea kitambo
Na wewe ukiwa km mwanachama wa jf, yaani great thinker, wamekuingizimo katika mtazamo huo?!!!!Inasemekana Hawa wenye umri mrefu ndiyo huwapangia vifo wenzao
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂 umeaua af jamaa anajifanya kaumiaKwamba hadi gesiti hausi huu utaratibu upo tokea kitambo
Mimi sio muajiriwa wa Utumisi ila kwa haraka haraka nikisoma hilo dodoso ulilo ambatanisha limelenga kuwa tambua wale wenye uraia wa mashaka. Hayo maswali yaweza kuwa yameingia ila hayaoneshi kuwa na nia mbaya japo naweza kusahihishwa!Habari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie hili Taifa.
Wengine bado tunataka kuliona Taifa letu likiwa moja.
Vyombo vya usalama, basi mshaurini mheshimiwa Rais vizuri, msijisahau sana mkaiacha nchi kwenye auto-pilot.
Niwakumbusheni Taifa hili halikujengwa kwa matofali, la hasha!
Mpitisheni Mh. Rais katika historia ndogo ndogo zile njema, zilizotufanya Watanzania japo tukawa wamoja, potelea pote na umaskini wetu.
Sasa hamuwezi amini, leo hii Hazina inaomba taarifa za watumishi (CV), na miongoni mwa taarifa wanazotakiwa kujaza hao watumishi ni:-
1. Kabila lako .....
2. Dini yako .......
Zipo taarifa zingine, za kipuuzi zinazoombwa, ila haina haja sana kuzitaja, kwani hazina athari sana kama hizi mbili.
Hivi kweli, leo mnataka DINI ya mtumishi, iwasaidie nini?
Hii taarifa mnaitumia kuboresha nini?
Udini wa nini katika Tz ya leo.
Tuna ajenda gani na Dini za watu, (watumishi). DINI, DINI.....DINI...!!!!?....,leo tunauliza DINI yako ni ipi? Kweli mh. Rais Samia.
Halafu mnataka na KABILA, kabila la mtumishi litumike kuboresha nini?
Mna ajenda gani huko?
KABILA, leo mnamuuliza mtu KABILA. Kweli mh Rais Samia , ulisema wewe huna kabila, sijui ni Mzanzibar, sasa hawa watumishi, karne ya 21, mwaka 2022, wawajazie makabila yao, muyajue, myafanyie nini?!
Mh Rais Samia, hebu kataa mambo mengine.
Siku Taifa hili likiparaganyika mikononi mwako, hao unaowaona, watakukataa.
Mfumo wa CV (format) na taarifa zinazotakiwa nimeambatanisha hapa.
denooJ , MTAZAMO , barafu , Tindo , Chige , shige2 , Malcolm X5 , MALCOM LUMUMBA ,
Hizo taarifa ndo uulizwe kwenye resume/ CV?Inahusu benefits anazopata muajiriwa: bima ya afya na nauli ya likizo
Lazima umtetee ,sababu mkristo mwenzio na msukuma mwenzio ngeke wewe!Magufuli hakua mdini, kwa kumbukumbu zangu zilivyo aliwatumbua na kuwaadhibu viongozi wengi Sana wa kikristo na wengine waliishia jela.
Labda sijui usemaje, Ila kwenye udini big NO
Sukuma Gang,ulipotea, Samia Hadi 2035Hizo taarifa ndo uulizwe kwenye resume/ CV?
Typical banana republic stuff.
Uliwahi sikia msabato gaidi?Nadhani hili sio jipya na ni usumbufu tu kwani mtu anapoajiriwa, taarifa hizo karibu zote hutakiwa kuzijaza sasa sijui kwanini wanaziomba upya.
Hata Polisi wanapochukua taarifa za wahalifu, huchukua taarifa zikiwemo za kabila la mtu na sijui ni kwanini.
Naunga mkono tutambuane kuna dini namakabila Fulani yanatakakujifanya hii nchi niyakwao pekeyao hawataki wengine waitumikie ndani yamfumoHabari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie hili Taifa.
Wengine bado tunataka kuliona Taifa letu likiwa moja.
Vyombo vya usalama, basi mshaurini mheshimiwa Rais vizuri, msijisahau sana mkaiacha nchi kwenye auto-pilot.
Niwakumbusheni Taifa hili halikujengwa kwa matofali, la hasha!
Mpitisheni Mh. Rais katika historia ndogo ndogo zile njema, zilizotufanya Watanzania japo tukawa wamoja, potelea pote na umaskini wetu.
Sasa hamuwezi amini, leo hii Hazina inaomba taarifa za watumishi (CV), na miongoni mwa taarifa wanazotakiwa kujaza hao watumishi ni:-
1. Kabila lako .....
2. Dini yako .......
Zipo taarifa zingine, za kipuuzi zinazoombwa, ila haina haja sana kuzitaja, kwani hazina athari sana kama hizi mbili.
Hivi kweli, leo mnataka DINI ya mtumishi, iwasaidie nini?
Hii taarifa mnaitumia kuboresha nini?
Udini wa nini katika Tz ya leo.
Tuna ajenda gani na Dini za watu, (watumishi). DINI, DINI.....DINI...!!!!?....,leo tunauliza DINI yako ni ipi? Kweli mh. Rais Samia.
Halafu mnataka na KABILA, kabila la mtumishi litumike kuboresha nini?
Mna ajenda gani huko?
KABILA, leo mnamuuliza mtu KABILA. Kweli mh Rais Samia , ulisema wewe huna kabila, sijui ni Mzanzibar, sasa hawa watumishi, karne ya 21, mwaka 2022, wawajazie makabila yao, muyajue, myafanyie nini?!
Mh Rais Samia, hebu kataa mambo mengine.
Siku Taifa hili likiparaganyika mikononi mwako, hao unaowaona, watakukataa.
Mfumo wa CV (format) na taarifa zinazotakiwa nimeambatanisha hapa.
denooJ , MTAZAMO , barafu , Tindo , Chige , shige2 , Malcolm X5 , MALCOM LUMUMBA ,
Mkuu usiogope. Hiyo inaitwa upekuzi, Kiingereza ni vetting. Tunataka tuwajue warundi na warwanda!Habari wana JF ..

Kama bibi alivyopata kazi baada ya Magufuli kuacha kazi.Tuliza wenge... Acha kazi tupate kazi.