Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Mama anataka kufanya usawa wa kidini kwenye uteuzi.
Huoni leo akiteua mkirito lazima ateue na musilamu, akiondoa mkiristo anaweka muislamu.
Angalia baraza la mawaziri toka ameingia, ameondoa wakristo 7 akateua waislamu 7 ila akawawekea wasaidizi wakristo.
Yeye mama akiteua boss muislamu basi msaidizi wake ni mkiristo.
Kwa sasa anataka dini zenu ili anapofanya uteuzi ajue wewe ni dini gani akupe ama ampe mwingine.
Wanasema wanataka kuvunja mfumo kristo.
Mungu aliipenda Sana Tz kwa kutupa Nyerere kua baba wa Taifa maana bila hivyo nchi hii ingekua imegawanyika kikabila/kidini mbaya kabisa.
Asante Sana Mungu.
Tulizeni mishono dawa iwaangie, tuhuma za udini na ukabila kwenye taasisi za sirikali zimekithirini sana, sasa mama anachunguza je ni kweli ama laa? Hakuna ubaya kuchunguza tuhuma nzito kama hizo ,
Kama mbwai mbwai tu , lakini lazma tuchunguze na kuleta uwiano sawa kwenye sirikali, sio dini fulani au kabila moja mkurugenz hadi mfagiaji.
Keki ya taifa lazma watu wote wapate . Haki na usawa
ili tuwashughulikieAlafu mkishajua?
Huenda wengine wakalikuchua jambo hili kama si serious vile. Ila ukiangalia between the lines utaona kuna nia na kusudi baya ambalo SSH angependa alitimize kabla ya 2025. Ila ni lazima tumkumbushe kuwa Tanzania Bara si Zanzibari ambapo kuanzia mwenyekiti wa mtaa hadi Mawaziri ni DINI moja. Hivo basi Tanzania Bara ni tofauti sana na Zanzibari Akiendelea hivi naona anatupeleka pabaya.Habari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie hili Taifa.
Wengine bado tunataka kuliona Taifa letu likiwa moja.
Vyombo vya usalama, basi mshaurini mheshimiwa Rais vizuri, msijisahau sana mkaiacha nchi kwenye auto-pilot.
Niwakumbusheni Taifa hili halikujengwa kwa matofali, la hasha!
Mpitisheni Mh. Rais katika historia ndogo ndogo zile njema, zilizotufanya Watanzania japo tukawa wamoja, potelea pote na umaskini wetu.
Sasa hamuwezi amini, leo hii Hazina inaomba taarifa za watumishi (CV), na miongoni mwa taarifa wanazotakiwa kujaza hao watumishi ni:-
1. Kabila lako .....
2. Dini yako .......
Zipo taarifa zingine, za kipuuzi zinazoombwa, ila haina haja sana kuzitaja, kwani hazina athari sana kama hizi mbili.
Hivi kweli, leo mnataka DINI ya mtumishi, iwasaidie nini?
Hii taarifa mnaitumia kuboresha nini?
Udini wa nini katika Tz ya leo.
Tuna ajenda gani na Dini za watu, (watumishi). DINI, DINI.....DINI...!!!!?....,leo tunauliza DINI yako ni ipi? Kweli mh. Rais Samia.
Halafu mnataka na KABILA, kabila la mtumishi litumike kuboresha nini?
Mna ajenda gani huko?
KABILA, leo mnamuuliza mtu KABILA. Kweli mh Rais Samia , ulisema wewe huna kabila, sijui ni Mzanzibar, sasa hawa watumishi, karne ya 21, mwaka 2022, wawajazie makabila yao, muyajue, myafanyie nini?!
Mh Rais Samia, hebu kataa mambo mengine.
Siku Taifa hili likiparaganyika mikononi mwako, hao unaowaona, watakukataa.
Mfumo wa CV (format) na taarifa zinazotakiwa nimeambatanisha hapa.
denooJ , MTAZAMO , barafu , Tindo , Chige , shige2 , Malcolm X5 , MALCOM LUMUMBA ,
Niya yake si nzuri.ili tuwashughulikie
Ni vizuri tumkumbushe kuwa Tanzania Wakristo ni 64.1% vs Waislamu 34:1% tofauti na Zanzibar ambapo zaidi ya ya 90+%ni Waislamu. Kubadilisha hili itamuia vigumu sana. Ni vizuri SSH aende polepole asijikwae bure!!Mama anataka kufanya usawa wa kidini kwenye uteuzi.
Huoni leo akiteua mkirito lazima ateue na musilamu, akiondoa mkiristo anaweka muislamu.
Angalia baraza la mawaziri toka ameingia, ameondoa wakristo 7 akateua waislamu 7 ila akawawekea wasaidizi wakristo.
Yeye mama akiteua boss muislamu basi msaidizi wake ni mkiristo.
Kwa sasa anataka dini zenu ili anapofanya uteuzi ajue wewe ni dini gani akupe ama ampe mwingine.
Wanasema wanataka kuvunja mfumo kristo.
Sensa ijayo kipengele hicho kimo , ondoa shaka.Mbona sensa kipengele cha dini mlikifuta?
Naambiwa fomu za kwanza zilijazwa na kupelekwa Ikulu!!!Habari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie hili Taifa.
Wengine bado tunataka kuliona Taifa letu likiwa moja.
Vyombo vya usalama, basi mshaurini mheshimiwa Rais vizuri, msijisahau sana mkaiacha nchi kwenye auto-pilot.
Niwakumbusheni Taifa hili halikujengwa kwa matofali, la hasha!
Mpitisheni Mh. Rais katika historia ndogo ndogo zile njema, zilizotufanya Watanzania japo tukawa wamoja, potelea pote na umaskini wetu.
Sasa hamuwezi amini, leo hii Hazina inaomba taarifa za watumishi (CV), na miongoni mwa taarifa wanazotakiwa kujaza hao watumishi ni:-
1. Kabila lako .....
2. Dini yako .......
Zipo taarifa zingine, za kipuuzi zinazoombwa, ila haina haja sana kuzitaja, kwani hazina athari sana kama hizi mbili.
Hivi kweli, leo mnataka DINI ya mtumishi, iwasaidie nini?
Hii taarifa mnaitumia kuboresha nini?
Udini wa nini katika Tz ya leo.
Tuna ajenda gani na Dini za watu, (watumishi). DINI, DINI.....DINI...!!!!?....,leo tunauliza DINI yako ni ipi? Kweli mh. Rais Samia.
Halafu mnataka na KABILA, kabila la mtumishi litumike kuboresha nini?
Mna ajenda gani huko?
KABILA, leo mnamuuliza mtu KABILA. Kweli mh Rais Samia , ulisema wewe huna kabila, sijui ni Mzanzibar, sasa hawa watumishi, karne ya 21, mwaka 2022, wawajazie makabila yao, muyajue, myafanyie nini?!
Mh Rais Samia, hebu kataa mambo mengine.
Siku Taifa hili likiparaganyika mikononi mwako, hao unaowaona, watakukataa.
Mfumo wa CV (format) na taarifa zinazotakiwa nimeambatanisha hapa.
denooJ , MTAZAMO , barafu , Tindo , Chige , shige2 , Malcolm X5 , MALCOM LUMUMBA ,
Source ya Takwimu hizi ni sensa au?Ni vizuri tumkumbushe kuwa Tanzania Wakristo ni 64.1% vs Waislamu 34:1% tofauti na Zanzibar ambapo zaidi ya ya 90+%ni Waislamu. Kubadilisha hili itamuia vigumu sana. Ni vizuri SSH aende polepole asijikwae bure!!
.
Inasaidia upeleleziNadhani hili sio jipya na ni usumbufu tu kwani mtu anapoajiriwa, taarifa hizo karibu zote hutakiwa kuzijaza sasa sijui kwanini wanaziomba upya.
Hata Polisi wanapochukua taarifa za wahalifu, huchukua taarifa zikiwemo za kabila la mtu na sijui ni kwanini.
Bwashee umepatwa weye. Ukitajiwa neno dini au kabila wewe waona ni dhambi. Lkn maneno hayo mawili yapo ndani ya katiba..
Hivi kweli, leo mnataka DINI ya mtumishi, iwasaidie nini?
Hii taarifa mnaitumia kuboresha nini?
Udini wa nini katika Tz ya leo.
Tuna ajenda gani na Dini za watu, (watumishi). DINI, DINI.....DINI...!!!!?....,leo tunauliza DINI yako ni ipi? Kweli mh. Rais Samia.
Halafu mnataka na KABILA, kabila la mtumishi litumike kuboresha nini?
Mna ajenda gani huko?
KABILA, leo mnamuuliza mtu KABILA. Kweli mh Rais Samia , ulisema wewe huna kabila, sijui ni Mzanzibar, sasa hawa watumishi, karne ya 21, mwaka 2022, wawajazie ] ,
Mfumo huo upo sana. Kwa kuwa wewe ni mkristu huwezi kuona athari yake.Hakuna kitu kinachoitwa 'mfumo kristu' kwenye hili taifa........hizo ni kampeni za kueneza chuki, fitina na hila ovu dhidi ya kundi fulani la ki-imani.
Yaani nyinyi waislam hata ukienda chuoni tu unaiona hali halisi kuwa wanafunzi wa kikristo ni wengi hata nusu yao waislam hamfikii leo hii mnataka kubalance! Ndio maana anatoa mawaziri wakristo kwa kisingizio wakajiandae na 2025?Mfumo huo upo sana. Kwa kuwa wewe ni mkristu huwezi kuona athari yake.
Ni vema tuijue lugha yetu ya kiswahili vizuri. Sikumwambia yoyote kuwa punguani au mpumbavu, nimetumia maneno "upunguani" na "upumbavu".Kwani kulikuwa kuna haja ya kumtukana huyo mtu? Nani punguani sasa, kati yake na yako?