Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

Mzee kwani kwa takwimu za kimisikiti ukizijumlisha unapata idadi ya waislamu walioko Tanzania wangapi?

Mfano kwa takwimu za kanisa katoliki jimbo la Mwanza za mwaka 2018 wana waumini waliosajiliwa laki 6 na points hii ni Mwanza tu.
 
Akitaka kufanya haki aanzie, na mashuleni, form IV, VI, Chuoni, iwe Nacte, Necta, TCU, ndio aje makazini, jingine aangalie ratio ya waalimu/ wahadhiri n.k. Ndio aje kwenye ajira,
 
Huyo Mzee ni MWONGO na ukimuuliza maswali ya kumbana kama hayo anakimbilia kukuletea maandishi mengi ya uongo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jibu swali acha kubwabwaja?

Mbona hao EAMWS hawakujenga hizo shule huko Kenya? Mbona msijenge sasahivi?
 
Acha kujitetea kwa takwimu za UONGO, sikuhizi wadanganye watoto tu na wenzio huko Masjid, ila kubali kuwa hamkuitaka shule. Na shule haikuwataka.

Mliipenda tarawee na Kaswida.
 
Nafuu umemgundua huyu Mzee na takwimu zake zake za michongo.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee kwani kwa takwimu za kimisikiti ukizijumlisha unap
Loftins,
Hili si suala la takwimu nani wengi.
Ni tatizo la dhulma na ushahidi upo.

Hili si tatizo la wewe au yeyote awaye yule kutoa majibu.
Hili ni suala la serikali kuwajibu Waislamu.

Mini nimekuwa nikitafiti na kuandika ili viongozi wetu wajue lipo tatizo.
Siandiki ili nijibizane na watu hapa.
 
Acha kujitetea kwa takwimu za UONGO, sikuhizi wadanganye watoto tu na wenzio huko Masjid, ila kubali kuwa hamkuitaka shule. Na shule haikuwataka.

Mliipenda tarawee na Kaswida.
Astaghafirullah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…