Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

Inside 10,
Napenda kwanza kukufahamisha kuwa hii ratio ya 20:80 kuonyesha uwiano baina ya Waislam na Wakristo katika kuhodhi nafasi katika serikali ya Tanzania si zangu mimi kama ulivyoandika.

Hii ratio ipo katika Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu wa Tanzania uliotolewa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020.

Umesema kuwa mimi nimekoshwa na hatua ya serikali ya kutaka kujua dini na kabila.

Kwa kauli yako hii nachukulia kuwa jambo hili limekuudhi na ningependa kufahamu kwa nini hulipendi?

Unaweza kusoma waraka wa Shura ya Maimamu hapo chini:
Mzee kwani kwa takwimu za kimisikiti ukizijumlisha unapata idadi ya waislamu walioko Tanzania wangapi?

Mfano kwa takwimu za kanisa katoliki jimbo la Mwanza za mwaka 2018 wana waumini waliosajiliwa laki 6 na points hii ni Mwanza tu.
 
Akitaka kufanya haki aanzie, na mashuleni, form IV, VI, Chuoni, iwe Nacte, Necta, TCU, ndio aje makazini, jingine aangalie ratio ya waalimu/ wahadhiri n.k. Ndio aje kwenye ajira,
 
Craaaaap.
Eti EAMWS inajenga shule nchi nzima...
Kwanini haikujenga huko Kenya ambako ndio yalikuwa makao makuu yao?
Kwanza unaipresent hiyo EAMWS kama true islamic institution ilhali ilijaa washia na waisimailia ambao nyie ma-radicals mnawakataa.
Acha uongo.
Acha fitina.
Huyo Mzee ni MWONGO na ukimuuliza maswali ya kumbana kama hayo anakimbilia kukuletea maandishi mengi ya uongo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nan...
Ukianza mjadala kwa namna hiyo yako kwangu mimi inakuwa vigumu kuchangia chochote kwani naogopa kuingia katika mazungumzo na mtu ambae kaghadhibika.

Waswahili tuna msemo kheri nusu shari kuliko shari kamili.

Ikiwa unapenda tufanye huu mjadala mimi niko tayari lakini uwe wa kistaarabu ili wasomaji wanufaike na yale ambayo sote tutachangia.

Mjadala wa kutukanana hauna tija wala maana yoyote.
Jibu swali acha kubwabwaja?

Mbona hao EAMWS hawakujenga hizo shule huko Kenya? Mbona msijenge sasahivi?
 
Man...
Unauliza kwa nini Waislam wako nyuma katika elimu.
Nitakuwekea hapo mfano mmoja kukuonyesha kwa nini:

''Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu.

Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21. Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe. Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79.

Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.

Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu. Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga.

Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha.''

(Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma, 1999)

Acha kujitetea kwa takwimu za UONGO, sikuhizi wadanganye watoto tu na wenzio huko Masjid, ila kubali kuwa hamkuitaka shule. Na shule haikuwataka.

Mliipenda tarawee na Kaswida.
 
Hizi statistics zako they're quite problematic,. kwanza hazina kitu kinaitwa "reliability" labda nikuulize hizo asilimia umezipoa wapi? Kichwani,? Za lini? Za wapi? A subset au zina represent an entire population (i.e Tanzania). Anyways mi sio mwislam, na wala sio shabiki kwa waislam kuwa nyuma kielimu, nimefanya tafiti nyingi sana and I can honestly tell you why waislam wapo nyuma, and you can go and prove my hypotheses.

Kipindi Cha nyuma walisema "waislam" hawafanyi vizuri sababu ya majina, kwamba wasahihishaji wa mtihani wanaonea waislam sababu ya majina, zikaja number instead of names lakini toka miaka ya 90 hadi Leo gap linazidi kuwa kubwa and I can surely tell you why, and it's not going to slow anytime soon, Je waislam hawana akili as compared na wakristo that's not true, ila waislam watazidi kubaki kuwa nyuma kielimu wasipojua the "causality" of their poor performance academically, uzuri nimesoma, nimefanya tafiti najua nachokwambia.
Nafuu umemgundua huyu Mzee na takwimu zake zake za michongo.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee kwani kwa takwimu za kimisikiti ukizijumlisha unap
Loftins,
Hili si suala la takwimu nani wengi.
Ni tatizo la dhulma na ushahidi upo.

Hili si tatizo la wewe au yeyote awaye yule kutoa majibu.
Hili ni suala la serikali kuwajibu Waislamu.

Mini nimekuwa nikitafiti na kuandika ili viongozi wetu wajue lipo tatizo.
Siandiki ili nijibizane na watu hapa.
 
Acha kujitetea kwa takwimu za UONGO, sikuhizi wadanganye watoto tu na wenzio huko Masjid, ila kubali kuwa hamkuitaka shule. Na shule haikuwataka.

Mliipenda tarawee na Kaswida.
Astaghafirullah
 
Back
Top Bottom