Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Mzee kwani kwa takwimu za kimisikiti ukizijumlisha unapata idadi ya waislamu walioko Tanzania wangapi?Inside 10,
Napenda kwanza kukufahamisha kuwa hii ratio ya 20:80 kuonyesha uwiano baina ya Waislam na Wakristo katika kuhodhi nafasi katika serikali ya Tanzania si zangu mimi kama ulivyoandika.
Hii ratio ipo katika Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu wa Tanzania uliotolewa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Umesema kuwa mimi nimekoshwa na hatua ya serikali ya kutaka kujua dini na kabila.
Kwa kauli yako hii nachukulia kuwa jambo hili limekuudhi na ningependa kufahamu kwa nini hulipendi?
Unaweza kusoma waraka wa Shura ya Maimamu hapo chini:
Uchaguzi 2020 - Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020. UTANGULIZI Ugonjwa wa Korona – COVID-19 Sote Tunafahamu kuwa nchini mwetu na Dunia kwa ujumla kumekuwepo na taharuki kubwa ya Ugonjwa wa...www.jamiiforums.com
Mfano kwa takwimu za kanisa katoliki jimbo la Mwanza za mwaka 2018 wana waumini waliosajiliwa laki 6 na points hii ni Mwanza tu.