Kabila lako ni utambulisho wa asili yako ila dini sio utambulisho wa asili.Inashangaza hadi polisi wanatangazaga dini na kabila la mtuhumiwa sielewi zina umuhim gani
Inapendeza sana kuona Sukuma GANG na Mataga ndio mnaishi katika mashaka na hofu kubwa.. Mungu Ametenda..!mbona kama hili suala kuna watu wamepanic sana.
Mamlaka zinataka utambuzi wa watumishi wake ili zikiwapanga kuwe na usawa..
Baada ya hapo wakuu wa kila taasisi wanapewa amri kuhakikisha kunakuwa na usawa maofisini na kwenye kutoa ajira...
Zipo taasisi zimejaa Wanyakyusa, Wahaya, Wachaga, Wasukuma nk..
SIONI SHIDA HAPO..tuache kulalama
Acha haya maneno yako. Mfumo Kristo ni upi? Serikali haina dini ila watu wake wana dini.Mama anataka kufanya usawa wa kidini kwenye uteuzi.
Huoni leo akiteua mkirito lazima ateue na musilamu, akiondoa mkiristo anaweka muislamu.
Angalia baraza la mawaziri toka ameingia, ameondoa wakristo 7 akateua waislamu 7 ila akawawekea wasaidizi wakristo.
Yeye mama akiteua boss muislamu basi msaidizi wake ni mkiristo.
Kwa sasa anataka dini zenu ili anapofanya uteuzi ajue wewe ni dini gani akupe ama ampe mwingine.
Wanasema wanataka kuvunja mfumo kristo.
Chui Jike ashindwi, anavyopuyanga hivi..Anataka ajue mkifa iwe rahisi kuwatambikia ... just kidding..
Mimi huchukia sana mtu akiniuliza kabila ama dini.Inashangaza hadi polisi wanatangazaga dini na kabila la mtuhumiwa sielewi zina umuhim gani
Toka nchi ipate uhuru, TANU na CCM ndiyo watawala na Wachagga hatukuwahi kupungukiwa. Bado huko nje ya Tanzania amabapo hamna CCM kuna Wachagga pia.ila wachaga mnapata tabu sana, anyway logeni ccm itoke madarakani ndio itakua nafuu kwenu
Mbona kwenye hospital na vitambulisho au polisi na kweti vya kuzaliwa yote hayo yanafanyika ,jipya ni nini?Habari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Mkuu embu tupe inside news. Usiwe unakaa kimya hivyo. Toa hata utabiri tu wa mambo mazito mazitoMaji mtaita mma...
Tulitakiwa kama Taifa kuondoa kabisa haya maswali yanayoulizwa kuleta matabaka. Kabila la mtumishi wanalifanyia nini?Hii haiko sawa mfano kuna kasi kubwa vijana wengi kuoa au kuolea na makabila mengine. Ni vema tutengeneze kabila liitwalo mtanzania.
Na hii dini ya nini bora wailize magrupu ya damu
Unapenda utabiri wewe!!Mkuu embu tupe inside news. Usiwe unakaa kimya hivyo. Toa hata utabiri tu wa mambo mazito mazito
Sure kitu Cha kawaida Hadi polisi ama hospital unaulizwa.ivi kweli hiki ni kitu kipya???? mbona watanzania tuna lawama sanaaa..... mbona hizo ni taarifa za kawaida sanaaa tena baadhi ya watumishi huzijaza kila mwisho wa mwaka...
ulivyoandika ni kana kwamba hata huko shuleni ulikopitia hukuwahi kuliona hili... tena hadi vikundi vipo, huko maofisini mna hadi makundi ya kikabila
BADILIKA sio kila kitu Raisi, Raisi.....
ulisema hutakosoa so ishu zingine zote zinazoendelea kwako ni sawa ni hii ndo imekuumuza????
Huoni haja kwamba inatakiwa ifutwe hii!!.Kwenye kumbukumbu za ajira,kabila,dini ni viyu vya kawaida tu hata enzi za nyerere sharti hili lilikuwepo
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Unawaza kujua Kabila na Dini ya mtu Kwa ajili ya maziko??? Kweli...Sure kitu Cha kawaida Hadi polisi ama hospital unaulizwa.
Sasa si ni katika kukufahamu hauoni hapa mpaka wageni waoiojipachika uraia tutawajua mkuu.
Ila yeye analipigia kelele utadhani watu wake tz hawana ivyo vitambulisho.
Kama kabila linakuonyesha unatokea sehemu gani hapa Tanzania.
Mfano mtu amefariki tunasemaje ama kutangazaje Sasa.
Kuwa mtanzania mwenye jina Nyanungu mangucha amefariki ama ameiba.
Nadhani hata huyu hajasoma fomu wani bailoji Ile classification.
We classify living things up to family or scientific name.
Anza na human being sijui class animalia.
Identification ni muhimu sana.
Yaani unachosema ni just your perception. Sasa kwaniw watanzania hatuna makabila mkuu ama mbona unaogopa Sana kujulikana.Unawaza kujua Kabila na Dini ya mtu Kwa ajili ya maziko??? Kweli...
You are so myopic. Una upeo mfupi sana.