Kwa hiyo unaamini huu ni mkakati maalumu?Hii issue ni sensitive! Ila wewe, mimi na yeye, tuna juwa kwamba Lilihitaji nani amfunge paka kengele! Bila hivyo hakuna uwiano wa kuridhisha! Kuna makundi yamekuwa ya kila makombo ya keki ya Taifa wakati mengine yana bwia keki nzima. Let's be realistic /honest.
Kama vipi tuondoe hata majina ya mikoa wilaya tarafa kata Kijiji mtaa kitongoji uwe inaandikwa kuwa unaishi na umezaliwa Tanzania inatosha ama shida ni Nini lakini.mbona unaogopa.Unawaza kujua Kabila na Dini ya mtu Kwa ajili ya maziko??? Kweli...
You are so myopic. Una upeo mfupi sana.
Hizo ni nadharia tu za ndoa za boma lakini sababu ya uwepo wa ndoa za serikali ni kwa sababu tu wazazi wa Amina wamekataa kufungisha ndoa ya binti yao kwa Peter na hivyo amina peter kuhalalisha ufuska na ukaidi wao kwa wazazi wameamua kwenda kwa baraza la wilaya ili kuruhusiwa waishi kama mama na baba kwa wanao.Sio lazima kujaza dini kwenye hiyo CV, hauwezi kufanywa chochote kwa kutokua na dini. Pia watu wengi tu wanaishi pamoja na wakiwa na familia bila kuoana na zipo ndoa za kiserikali ambazo sio lazima kuwa na dini.
Taarifa sahihi za ajira ni elimu na ujuzi.Nadhani ni sahihi katika kupata Taarifa sahihi za watumishi wake, ni njia mojawapo ya kupata Takwimu sahihi.
Ukishamjua Dini yake, ndio utendaji wake na ujuzi kazini unaongezeka?Mtumishi wa umma ni mtu muhimu sana inabidi tumjue kwa undani kabla hatujampa ofisi yetu
Sensa lazima watauliza. Ni miaka yote.Mimi nasubiri nione 'dodoso' ya sensa kama itakuwa na kipengele.
Nacheka lakini naopgopa.
Ukiteua huku unafikiria dini badala ya uwezo na utayari wa mtu ni hatari sana. Maana badae watu wataenda mbali zaidi hadi kwenye madhejebu. Utwaridhisha watu kweli kwa jinsi hii?Mama anataka kufanya usawa wa kidini kwenye uteuzi.
Huoni leo akiteua mkirito lazima ateue na musilamu, akiondoa mkiristo anaweka muislamu.
Angalia baraza la mawaziri toka ameingia, ameondoa wakristo 7 akateua waislamu 7 ila akawawekea wasaidizi wakristo.
Yeye mama akiteua boss muislamu basi msaidizi wake ni mkiristo.
Kwa sasa anataka dini zenu ili anapofanya uteuzi ajue wewe ni dini gani akupe ama ampe mwingine.
Wanasema wanataka kuvunja mfumo kristo.
Hii acting smart ya baadhi ya watu ni hatari sana. Kama mtakumbuka malumbano haya yalianza wakati wa sensa ya 2012 mpaka, then kipengele hicho kikaondolewa.Kwani serikali inafanya matambiko? Serikali inaswalisha? Kuna kitu gani cha kiimani au kikabila serikali inafanya kwenye hizo dharula?
No kilio dolewa hicho kipengele cha diniSensa lazima watauliza. Ni miaka yote.
Rais anahusika vipi hapo?Habari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie hili Taifa.
Wengine bado tunataka kuliona Taifa letu likiwa moja.
Vyombo vya usalama, basi mshaurini mheshimiwa Rais vizuri, msijisahau sana mkaiacha nchi kwenye auto-pilot.
Niwakumbusheni Taifa hili halikujengwa kwa matofali, la hasha!
Mpitisheni Mh. Rais katika historia ndogo ndogo zile njema, zilizotufanya Watanzania japo tukawa wamoja, potelea pote na umaskini wetu.
Sasa hamuwezi amini, leo hii Hazina inaomba taarifa za watumishi (CV), na miongoni mwa taarifa wanazotakiwa kujaza hao watumishi ni:-
1. Kabila lako .....
2. Dini yako .......
Zipo taarifa zingine, za kipuuzi zinazoombwa, ila haina haja sana kuzitaja, kwani hazina athari sana kama hizi mbili.
Hivi kweli, leo mnataka DINI ya mtumishi, iwasaidie nini?
Hii taarifa mnaitumia kuboresha nini?
Udini wa nini katika Tz ya leo.
Tuna ajenda gani na Dini za watu, (watumishi). DINI, DINI.....DINI...!!!!?....,leo tunauliza DINI yako ni ipi? Kweli mh. Rais Samia.
Halafu mnataka na KABILA, kabila la mtumishi litumike kuboresha nini?
Mna ajenda gani huko?
KABILA, leo mnamuuliza mtu KABILA. Kweli mh Rais Samia , ulisema wewe huna kabila, sijui ni Mzanzibar, sasa hawa watumishi, karne ya 21, mwaka 2022, wawajazie makabila yao, muyajue, myafanyie nini?!
Mh Rais Samia, hebu kataa mambo mengine.
Siku Taifa hili likiparaganyika mikononi mwako, hao unaowaona, watakukataa.
Mfumo wa CV (format) na taarifa zinazotakiwa nimeambatanisha hapa.
denooJ , MTAZAMO , barafu , Tindo , Chige , shige2 , Malcolm X5 , MALCOM LUMUMBA ,
View attachment 2095758
Mtumishi aliyepo kazini, Kabila linakusadia nini? Kupandisha mshahara, au cheo?Mbona hizi taarifa za dini na kabila hazijaanza leo, labda kama ww ndio umeanza kuziona awamu hii ya sita ila toka muda ukienda polisi au hosipital walikua wanauliza kabila na dini yako
Habari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie hili Taifa.
Wengine bado tunataka kuliona Taifa letu likiwa moja.
Vyombo vya usalama, basi mshaurini mheshimiwa Rais vizuri, msijisahau sana mkaiacha nchi kwenye auto-pilot.
Niwakumbusheni Taifa hili halikujengwa kwa matofali, la hasha!
Mpitisheni Mh. Rais katika historia ndogo ndogo zile njema, zilizotufanya Watanzania japo tukawa wamoja, potelea pote na umaskini wetu.
Sasa hamuwezi amini, leo hii Hazina inaomba taarifa za watumishi (CV), na miongoni mwa taarifa wanazotakiwa kujaza hao watumishi ni:-
1. Kabila lako .....
2. Dini yako .......
Zipo taarifa zingine, za kipuuzi zinazoombwa, ila haina haja sana kuzitaja, kwani hazina athari sana kama hizi mbili.
Hivi kweli, leo mnataka DINI ya mtumishi, iwasaidie nini?
Hii taarifa mnaitumia kuboresha nini?
Udini wa nini katika Tz ya leo.
Tuna ajenda gani na Dini za watu, (watumishi). DINI, DINI.....DINI...!!!!?....,leo tunauliza DINI yako ni ipi? Kweli mh. Rais Samia.
Halafu mnataka na KABILA, kabila la mtumishi litumike kuboresha nini?
Mna ajenda gani huko?
KABILA, leo mnamuuliza mtu KABILA. Kweli mh Rais Samia , ulisema wewe huna kabila, sijui ni Mzanzibar, sasa hawa watumishi, karne ya 21, mwaka 2022, wawajazie makabila yao, muyajue, myafanyie nini?!
Mh Rais Samia, hebu kataa mambo mengine.
Siku Taifa hili likiparaganyika mikononi mwako, hao unaowaona, watakukataa.
Mfumo wa CV (format) na taarifa zinazotakiwa nimeambatanisha hapa.
denooJ , MTAZAMO , barafu , Tindo , Chige , shige2 , Malcolm X5 , MALCOM LUMUMBA ,
View attachment 2095758
Huu ni upumbavu na hatari kubwa!
Serikali inataka kujenga makanisa na misikiti? Serikali inataka kutengeneza taratibu za kufanya matambiko?
Mwalimu must be rolling in his grave!
Okay, Asante, labda kumbukumbu zangu zimepotea hapa.No kilio dolewa hicho kipengele cha dini
Tunatakiwa kuondoa haya maswali. Hayana tija, yanatumika isivyopaswa.Ina maana hujui umuhimu wa sherehe za Kichifu na Makabila zinazopigiwa chapuo kila uchao? Mbona kwenye nyumba za wageni unaulizwa Kabila lako na huhoji!
Habari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Ninaweza nikakuwekea Waraka wa ndani wa Taasisi moja ya Umma, hiki ni kiambatanisho tu.Napata taabu kuamini kama hili suala ni kweli, na kama ni kweli basi aliye-propose na kulipitisha wote ni viumbe wapumbavu kupita maelezo! Na kama SSH analifahamu hili, na anaacha liendelee, basi nitamdharau sana kwa sababu ni jambo ambalo haliwezi kuwa justified kwa tafsiri yoyote ile!!
I wish hii thread nisingeiona mapema kwa sababu imeniharibia mood sana!