Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao CCM kucheza rafu ndiyo kawaida yao........
Unamkumbuka aliyembeba SSH mwaka 2020 wakati anamuombea kura Gwajima kule Kawe? Mpaka alikuwa analia, na alijitahidi sana kuwa upande wa Wanyonge na alifanya vitu vinavyoonekana, Je kwanini alikuwa anaomba aletewe Gwajima mpaka anataka kulia? Acha kujifariji na kuwa na matarajio yasiyokuwa na tumaini subiri wakati wa kampeni.Rais Samia atavuna kura nyingi sana za ndio hapo mwakani na kuweka historia ya kupata kura nyingi katika Historia ya Taifa letu.
Labda Kwa mapunguwani.Rais Samia atavuna kura nyingi sana za ndio hapo mwakani na kuweka historia ya kupata kura nyingi katika Historia ya Taifa letu.
Yaani dktari huyu hakopi benkiDaktari mwenye slary slip hii akisikia hiki anaweza ua mtuView attachment 3116804
Anakopa but si pesa nyingi. Serikali inamfumo ambao si rafiki kwa watumishi. Ndo maana wakipata nafasi ya kupiga wanapiga kweli au wakipata sehemu ya ulaji wanabaki kumsifia anayewalisha. Njaa mbaya sanaYaani dktari huyu hakopi benki
Watakuwa wameagizwa kumsaidia kuiba kuraHao CCM kucheza rafu ndiyo kawaida yao........
Hizo rafu ndiyo zishaanza na zitaendelea Hadi kuelekea Kwenye uchaguzi Mkuu mwishoni mwa mwaka ujao😳
WakomeDaktari mwenye slary slip hii akisikia hiki anaweza ua mtuView attachment 3116804
Yaani Makato ni nusu Kwa nusu😂😂😂Daktari mwenye slary slip hii akisikia hiki anaweza ua mtuView attachment 3116804
Nani atatoa adhabu?Kwani kampeni zilishaanza?
Hivi Ile adhabu kwa wanaoanza kabla ilishaondolewa?