Watumishi waagizwa kumtafutia kura Rais Samia 2025

Watumishi waagizwa kumtafutia kura Rais Samia 2025

Kwa watumishi kwa kweli mama hawana wanachomdai amefanya vyema sana mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Bado kuna changamoto kidogo tu ya madai ya watumishi (malimbikizo) kwa baadhi ya almashauri.
 
Kwakweli mama kafanya mengi sana kwa watumishi hatutakuangusha mama
 
Kizuri Chajiuza, Kibaya Chajitembeza
CCM Inajitembeza
 
Hawezi kupata kura sababu wapiga kura kawateka na kuwauwa.
 
Hovyo kabisa,

Kwa maslahi gani?
Hiyo annual increment wameweka?
 
Back
Top Bottom