Tetesi: Watumishi waliogombea Ubunge roho mkononi

Kwa mwaka huu kwasabab makada wengi ambao ni watumishi bila shaka watarejeshwa. Ole kwa wale wenye kadi ya kile chama kingine mwajiri anaweza sema sina nia ama nafasi yako tena subiri mpaka utakapo itwa.

Hapo ndipo kutakuwa na kilio na kusaga meno
 
Hivi ni kweli wamekosa mishahara ya miezi miwili?
Kwani mshahara wa mwezi Agusti kwa watumishi wa umma umeshatoka?
 
Bila Shaka Hao Wote Wataendelea Na Majukumu Yao
 
Mbona ni kawaida mfanyakazi akiamua kwenda kugombea nafasi za kisiasa lazima achukue likizo bila malipo!! Pia waraka ulitolewa mapema tu kama hujui uliza walioko kwenye ajira za Umma. Unataka usiwepo kazini na bado uendelee kulipwa pesa kweli??!!
 
Ila wanajisahau Sana baadhi ya watumishi wa umma,nikweli kila mtu anahisia na chama fulani ila wengi wanashindwa kujizuia
Unadhani wana hisia basi mkuu ni vile tu hua wanazuga tu,wale wote wanawaza kujipendekeza na kupata vyeo tu.
 
Mbona ni kawaida mfanyakazi akiamua kwenda kugombea nafasi za kisiasa lazima achukue likizo bila malipo!! Pia waraka ulitolewa mapema tu kama hujui uliza walioko kwenye ajira za Umma. Unataka usiwepo kazini na bado uendelee kulipwa pesa kweli??!!
Hivi unawezaje kutoka Ofisini kwenda kuomba uwakilishi Eneo wala watu waishio hapo huwafahamu? Kutia Nia ni Mchakato wa Muda mrefu. Ndio maana wameishia kupata Kura '0'.
 
Wawafanyie kampeni waliopitishwa washinde.watapimwa ushiriki wao maana wote waligombea CCM.watapimwa uzalendo wao ole wao watakao onyesha kinyongo
Hakika Jiwe ataua watu (Wana CCM)[emoji23][emoji1787]
 
Mkuu, kuwa mpole tuu. Kama ulitia nia ikabuma tafuta kazi ingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…