Tetesi: Watumishi waliogombea Ubunge roho mkononi

Tetesi: Watumishi waliogombea Ubunge roho mkononi

Inawezekana,ila nijuavyo nasisitiza mtumishi wa umma hatakiwi kuwa na kadi ya chama au kugombea ndani ya utumishi wake......ndiyo maana kamanda Shana watu walimpigia kelele sana
Mkuu watumishi wa umma wamegawanyika kwenye matabaka mbalimbali, mfano wanajeshi wote haruhusiwi kugoma wala kuwa wanachama wa chama chochote na ndiyo maana polisi, JTWZ, magereza na Uhamiaji hawana vyama vya wafanyakazi, soma vizuri stand order utaelewa
 
Hakuna kitu kibaya kama kuwa maskini wa akili, unashangilia wenzako kufukuzwa kazi badala ya kusikitika na kushauri, sisi maskini huwa tunaombea aliyenacho akose tukose wote badala ya kuomba uwe kama yeye.

Unamsema jiwe sio!?
 
Mkuu watumishi wa umma wamegawanyika kwenye matabaka mbalimbali, mfano wanajeshi wote haruhusiwi kugoma wala kuwa wanachama wa chama chochote na ndiyo maana polisi, JTWZ, magereza na Uhamiaji hawana vyama vya wafanyakazi, soma vizuri stand order utaelewa
Uko sahihi,ila nitaendelea kusisitiza kwa sheria za kazi za Tanzania,any public servant should be apolitical.........haruhusiwi kuwa member wa chama cha siasa,pamoja na hao majeshini........popote alipo mtumishi wa Umma haruhusiwi kuwa na upande wowote wa Siasa......cos anawatumikia wananchi wote
 
Back
Top Bottom