abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Mtoa mada kwahiyo unataka watumishi wasiende kula chakula?
Au unataka wawe wanakula humo ofisini
Kuna kitu inaitwa OPRAS, ukiona mtu anazurura ujue keshatimiza malengo alowekewaUnakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana.
Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake.
Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.
Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.
Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.
Hii nchi dah.
Kaleta hoja kwa staili ya wivu hivyo ni ngumu kwa mleta mada kuwa na ubunifu uliomakinika wa suluhusho la tatizo.So what? Leta suluhisho mkuu.
Ndio hivyo serikali itoe chakula na chai ili wtumishi wasitoke kwenda kufanya hivyo vituMtoa mada kwahiyo unataka watumishi wasiende kula chakula?
Au unataka wawe wanakula humo ofisini
Kaka mshana miaka mi 3 au kumi hajafanya chochote ni taasis gani watumish wame relax hivyo?Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.
Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.
Sahihi kabisa. Tatizo watu wana ajiriwa hawapewi their job descriptions, kwamba nini kinategemewa kutoka kwao kama afisa fulani. Hivyo unakuta watu wanaenda enda tu.Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana.
Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake.
Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.
Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.
Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.
Hii nchi dah.
Naunga mkono hoja, kwanza mfumo wa utumishi upitiwe upya, ajira ziwe za mikataba miaka 5 ukifanya vizuri uongezewe mitano ya mwisho hata tatizo la ajira litaishaUnakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana.
Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake.
Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.
Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.
Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.
Hii nchi dah.
Ni ngumu kulazimisha HAKI kutoka kwa mtu ambaye wewe mwenyewe humtendei HAKI.Sahihi kabisa. Tatizo watu wana ajiriwa hawapewi their job descriptions, kwamba nini kinategemewa kutoka kwao kama afisa fulani. Hivyo unakuta watu wanaenda enda tu.
Kingine hakuna targets za watumishi wa umma , na kama zipo basi hakuna follow up ya nn kimefanywa na nani na nani hajafanya nini.
Ushauri wangu, HR departments za utumishi wa umma wa ige kwenye private companies suala la performance management process.
Hili litabadilisha kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu sn maana wengi ni ndugu wa wakubwa huwezi kuwafanya kitu, ni kama traffic hakuna ambaye hajui kama wanachukua rushwa hata ma-RPC wanakiri lakini wanaletwa na akina nani pale? dawa ni kufumua mfumo mzima wa ajira mtu apimwe asipofika 80% ya malengo awe amejitoa mwenyeweSahihi kabisa. Tatizo watu wana ajiriwa hawapewi their job descriptions, kwamba nini kinategemewa kutoka kwao kama afisa fulani. Hivyo unakuta watu wanaenda enda tu.
Kingine hakuna targets za watumishi wa umma , na kama zipo basi hakuna follow up ya nn kimefanywa na nani na nani hajafanya nini.
Ushauri wangu, HR departments za utumishi wa umma wa ige kwenye private companies suala la performance management process.
Hili litabadilisha kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajira zingekuwa ni za mikataba watu wangewajibika sn, nyingi ni ruhusa, ED, masomoni, utoro n.kNi ngumu kulazimisha HAKI kutoka kwa mtu ambaye wewe mwenyewe humtendei HAKI.
Mfano, shule labda in walimu wawili tena katika mazingira magumu.
Au Zahanati ina CO mmoja au Nurse Wawili, wanafanya kazi SAA 24 bila extra duty zozote.
Kwanza hata kazi zenyewe WANAJITOLEA sana.
Ndio hivyo serikali itoe chakula na chai ili wtumishi wasitoke kwenda kufanya hivyo vitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha Wivu, wanafanya kazi kubwa, na niwalipaji wa Kodi wazuri ya Kila Mwezi na Kodi Zingine wanalipa piaUnakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana.
Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake.
Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.
Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.
Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.
Hii nchi dah.
Hizo Ajira za Mikataba serikalini ziko nchi gani?Ajira zingekuwa ni za mikataba watu wangewajibika sn, nyingi ni ruhusa, ED, masomoni, utoro n.k
Nchi nyingi za Ulaya ajira ni za mikataba isipokuwa kuna baadhi ya kada chache ndiyo ajira zao ni za kudumu kama jeshi, usalama wa taifa, madaktari na majaji pekee zingine zote ni mikataba mazee.Hizo Ajira za Mikataba serikalini ziko nchi gani?
Watumishi wa Nchi gani hao? Wewe unashauri nini? Afu usidhani kukaa ofisi mda wote ndio kufanya Kazi Sana.Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana.
Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake.
Ni watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.
Viwango vya mishahara na faida au output ya mtumishi wa Umma havilingani kabisa. Mtu anaweza kukaa miaka 3 hadi 5 au 10 hajawahi kufanya kazi yoyote kabisa. Lakini unamkuta kachomekea, kaulamba mkanda nje.
Halafu unakuta mtu ana elimu nzuri kabisa.
Hii nchi dah.
Machadema mna shida sana,na nyie tuonyesheni output yenu Ili tuwa gageNi watumishi wengi sana wa Umma wana hii ratiba kila siku, kila wiki, mwezi na miaka kadhaa... Cha ajabu mwisho wa mwezi mshahara unaingia.