Watumishi wengi wa Serikali hawana tija. Mishahara inapotea bure

Sasa unavyosema hivyo nchi wanaofanya asana kazi ni akina nani? Wewe au?
 
Acha Wivu,,
 
Watu wanateuana kwa kujuana,Halmashauri nyingi zimejaa watu wasio na sifa,Watumishi wengi hata wajitume vipi juhudi zao hazizai matunda (ni kupongezwa kwa maneno tu),hata wajitume vp jamii haiwaelewi,Acha wafanye wawezalo maana serikali haina shukran na maboss zao hivohvo
 
Tafuta MIHELA acha lawama chalii wenzio wanachomekea we unalia...Sonona inakili jamaa!!
 
Kweli kabisa ! You nailed it !!!
 
Utapeli huu bora waeekewe target ya Mwezi au Robo Mwaka
 
Toa mfano hai isije kuwa shetani kapanda kichwani
 
Hivi unajua Auditors wanapita mara ngapi kwenye sector za umma mura
 
Sawa tu mi naona maana wanalipwa mishahara midogo sana
 
ndiyo uzuri wa serikali ya CCM, kulipa mishahara watu ili wasifanye kazi. Ndiyo sababu watumishi wote wa serikali ni makada wa ccm
 
Mishahara ama ipunguzwe, au watumishi wapunguzwe. Ni kada mbili tu ambazo walau wanafanya kazi kwa muda mrefu, walimu na nurses. Hata madaktari wanaenda kusign vitabu vya mahudhurio, kusimamia vipimo vya wagonjwa wenye ahadi nao na kuwahi kwenye zahanati au maduka yao ya dawa.
 
wivu utawaua washenzi nyie.


kesho j3 naenda kusaini na kwenda kukaa kwenye mwembe kumpongeza mwigulu kwa kuandaa bajeti ya 41t na mei mosi ijayo mama anatoa neno na hakika hakuna atakayepunguliwa take home ya 50,000!!!
 
Ila kweli pesa Ni kiduchu sna mnazopokea
Yaani unamkuta mtu lets say kama Afisa Maendeleo anasimamia Tarafa nzima.au Kuna kata kubwa kweli hata tatu.

Mtu huyo Hana usafiri na hata kama amejjienunulia mwenyewe mafuta hapewi.

Kama Hilo halitoshi mazingira yenyewe ya kazi hayakaliki, hata nyumba za kupangisha Watumishi Ni kwa.mbinde halafu eti unalazimisha kazi iliyotukuka.

Kwani Utumishi Ni Jela?

Kuna ka kituo ka Afya Fulani hapa, ( kama ujuavyo huduma Ni masaa 24) sasa kina CO wawili tu.

Yaani maana yake kazi wanazofanya kama Ni haki haitakiwi.

Watu WANAJITOLEA sana.

Tena hizi kazi za serikali Mara kibao watu wanatoa pesa mfukoni mwao kufanya kazi ziende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…