Watunzeni na kuwalea vizuri mabinti, wanaharibikiwa

Watunzeni na kuwalea vizuri mabinti, wanaharibikiwa

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,630
Reaction score
2,169
Sasa hivi tuna wahitaji wapya mtaani wenye shida zisizo isha omba omba.

Hawa ni mabinti wadogo kwa wakubwa. Wamejishusha thamani sasa hivi huwezi ukadunu nae tena maana yake anageuka kikwazo.

Anakuomba hela kila dakika ili mradi una mawasiliano nae. Sio hela ya vocha kusuka, simu, kodi, nguo na nauli.
  • Je tuseme ngazi ya familia imeshindwa kuwatunza hawa mabinti?
  • Au je ni tamaa zao kutaka vitu vilivyo nje ya uwezo wao?
  • Au je ndio wanauza kijanja?
  • Au je ni nipe nikupe?
Kuna kitu hakipo sawa basi tuangalie ni namna gani ya kuwasaidia hawa watu maana yake hiki kitu kawashusha sana thamani ya utu wao.

1622192106164.png

 
Siku hz naona heri kununua kuliko kuwa na demu mtaani.

Unajua mwanamke kaumbwa ili ahudumiwe,hawa wanaoomba ingekuwa ni kipindi cha zamani wangekuwa wameolewa wangekuwa wanahudumiwa na waume zao.

Kwa vile sasa hawaolewi ndo inawabid waombe wakiwa makwao.
 
Ingawa kuomba ni tabia ya kidhalili lakini kitendo cha mwanamke ambaye ni mpenzi wako kukuomba hela ni ishara kuwa mwanaume hutambui wajibu wako katika huo uhusiano...........

Zamani mambo haya hayakuwepo kwa kuwa asilimia kubwa ya wanawake walikuwa wameolewa hivyo hupata matunzo kwa waume zao......trend ya ndoa imepungua lakini bado kimaumbile mahitaji ya wanawake yako pale pale.........

Kwa kuwa zama hizi ndoa zimepungua badala yake vijana wanakidhi haja zao za kimwili kwenye kichaka cha mahusiano basi huna budi kumhudumia huyo mwanamke............

Kama huna uwezo wa kuhudumia mahusiano basi zipo njia zingine za kukidhi haja zako.......
 
Ni tatizo complex hili na utatuzi wake unahitaji major changes kwa wanawake na wanaume pia.

Wanawake kuomba huwa ni very strategic labda hamjui tu.

First scenario ni anakuomba Ili uchoke kutoa usepe zako huko kwa vile hajakupenda. Hii ni category sana ya waume za watu afu mifuko yao haisomeki.

Second ni kwamba intially hajui anakupenda ama la lakini anakuomba Ili depth ya mfuko wako iongee apate kujua anakupenda ama la. Na hii inawakostigi sana wadada sababu wanaume ni wajanja mnooo. Watatoa na kama unapenda kulingana na pesa unayopewa basi wanasubiri unogewe wakugonge matukio kukukomesha ikiwemo kula line 2 ama kukuacha na kizygote na kusepa.

Thirdly, Ana shida kweli na Ana amini unampenda hivyo basi utamsaidia matatizo yake.

Fourthly, kabisa hako kanadanga tu hakana sababu manina zake. 🤭🤭🤭🤫🤫🤫
 
Wengi wenu nahisi hamuhishi uswahilini wanawake kuomba omba imekuwa tabia yaani mtu huna mahusiano nae yeye akikuona tu kwa vile anakuona kizinga na ukimpa siku moja ndio utakoma punguzeni kuomba waombeni mabwana zenu, kaka zenu na ndugu zenu pesa ngumu mnaosema zamani ilikuwa hakuna shida rudini zamani tuacheni bhn
 
Back
Top Bottom