ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 16,993
- 65,237
🤣🤣🤣🤣kariakoo🤣Sanamu lako ungependa lijengwe wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣kariakoo🤣Sanamu lako ungependa lijengwe wapi?
Mbona vyepesi Sana ya nn ulalamike , wewe akikuomba mwambie ijia , akitaka umtumie Kwa simu mwambie pesa yangu yakarungu yeye haitumwi mpaka uijie .Sasa hivi tuna wahitaji wapya mtaani wenye shida zisizo isha omba omba.
Hawa ni mabinti wadogo kwa wakubwa. Wamejishusha thamani sasa hivi huwezi ukadunu nae tena maana yake anageuka kikwazo.
Anakuomba hela kila dakika ili mradi una mawasiliano nae. Sio hela ya vocha kusuka, simu, kodi, nguo na nauli.
Kuna kitu hakipo sawa basi tuangalie ni namna gani ya kuwasaidia hawa watu maana yake hiki kitu kawashusha sana thamani ya utu wao.
- Je tuseme ngazi ya familia imeshindwa kuwatunza hawa mabinti?
- Au je ni tamaa zao kutaka vitu vilivyo nje ya uwezo wao?
- Au je ndio wanauza kijanja?
- Au je ni nipe nikupe?
waambie...na wao wapunguze kuomba basiTupunguze kuomba jamani😒
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiukweli pesa yangu huwa haipatikani kirahisi, ukiihitaji tunaenda ATM za lodge.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnatikisa kwel kwel hakuna hela ya BureMbona vyepesi Sana ya nn ulalamike , wewe akikuomba mwambie ijia , akitaka umtumie Kwa simu mwambie pesa yangu yakarungu yeye haitumwi mpaka uijie .
Sasa akija lazima atikiswe kwelikweli yaani tikisa tikisi lote mpaka akitaka pesa anakumbuka tikiso ajue kijasho kule hahahahha.
[emoji14][emoji14][emoji14] lazima atikiswe atikisike kwelikweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnatikisa kwel kwel hakuna hela ya Bure
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo utaratibu Mkuu[emoji14][emoji14][emoji14] lazima atikiswe atikisike kwelikweli
We si baasha wake lazma umhudumie😅😅😅Kazi sana..mi mmoja juzi kaamka tu eti naomba elf 30, nikajiuliza kafanya kazi gani mpka nimpe hela?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]We si baasha wake lazma umhudumie[emoji28][emoji28][emoji28]
Jamaa wanajigamba kama wamiliki wa GSM kumbe mmoja displin master na mwenzie kajitolea Mchambawima SecondaryKuna mijitu humu inataka kujifanya yenyewe Ndio inahela ....kumbe njaa tupu.
Kifupi wanawake Wa sasa ni kichefu chefu yaani wenyewe na pesa pesa na wenyewe hadi kufukia kuuza utu wao kisa vipesa ambavyo vinachosha na kutanua maungo yao bila sababu za msingi.
Kila mwanamke anataka kupendeza bila kufanya kazi mwisho wake wanaambulia kupigwa pipe tu bila mafanikio yoyote.
Asipo kuomba lazima akukope ....basi tufanye wanaombwa ni wanaume walio watonhiza . je hawa wanaokopwa alafu hawalipwi nao wanakosa gani ........?
Nyie vijamaa mnao jifanya mnahela
Na kutetea upuuzi Wa wanawake wanao taka haki za Mke huku wao hawataki kuwa wake .
Ni ukweli ambao umekithiri sana! Tatizo hili halikuwepo kabla ya utandawazi na maisha kuwa ya gharama kama ilivyo sasa! Zamani mke anasuka twende kilioni uani kwake gharama sh.300 tu!Sredi nyingi zimekuwa za malalamiko kuhusiana na mizinga.
Kulikoni?
😂😂😂😂Jamaa wanajigamba kama wamiliki wa GSM kumbe mmoja displin master na mwenzie kajitolea Mchambawima Secondary
Daah!! Mkuu hoja ya nne umemaliza na kuvunja mbavu [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]Ni tatizo complex hili na utatuzi wake unahitaji major changes kwa wanawake na wanaume pia.
Wanawake kuomba huwa ni very strategic labda hamjui tu.
First scenario ni anakuomba Ili uchoke kutoa usepe zako huko kwa vile hajakupenda. Hii ni category sana ya waume za watu afu mifuko yao haisomeki.
Second ni kwamba intially hajui anakupenda ama la lakini anakuomba Ili depth ya mfuko wako iongee apate kujua anakupenda ama la. Na hii inawakostigi sana wadada sababu wanaume ni wajanja mnooo. Watatoa na kama unapenda kulingana na pesa unayopewa basi wanasubiri unogewe wakugonge matukio kukukomesha ikiwemo kula line 2 ama kukuacha na kizygote na kusepa.
Thirdly, Ana shida kweli na Ana amini unampenda hivyo basi utamsaidia matatizo yake.
Fourthly, kabisa hako kanadanga tu hakana sababu manina zake. [emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2958][emoji2958][emoji2958]