Ni tatizo complex hili na utatuzi wake unahitaji major changes kwa wanawake na wanaume pia.
Wanawake kuomba huwa ni very strategic labda hamjui tu.
First scenario ni anakuomba Ili uchoke kutoa usepe zako huko kwa vile hajakupenda. Hii ni category sana ya waume za watu afu mifuko yao haisomeki.
Second ni kwamba intially hajui anakupenda ama la lakini anakuomba Ili depth ya mfuko wako iongee apate kujua anakupenda ama la. Na hii inawakostigi sana wadada sababu wanaume ni wajanja mnooo. Watatoa na kama unapenda kulingana na pesa unayopewa basi wanasubiri unogewe wakugonge matukio kukukomesha ikiwemo kula line 2 ama kukuacha na kizygote na kusepa.
Thirdly, Ana shida kweli na Ana amini unampenda hivyo basi utamsaidia matatizo yake.
Fourthly, kabisa hako kanadanga tu hakana sababu manina zake. 🤭🤭🤭🤫🤫🤫