Watunzeni na kuwalea vizuri mabinti, wanaharibikiwa

Nchi omba omba.
Wabunge akina Magige wadangaji mabwana za watu.
Wagogo-wamejazana Dar kwenye traffic light wanaomba.
Kwanini wanawake zetu wasiombe ombe?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Juz kati nimekula mzigo,..baada ya siku moja kupita demu anataka nimpe elfu ishirini...nikasema duuuuu...anavyoitaja utafikiri anajua jinsi inavyotengenezwa
Kazi sana..mi mmoja juzi kaamka tu eti naomba elf 30, nikajiuliza kafanya kazi gani mpka nimpe hela?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi tuna wahitaji wapya mtaani wenye shida zisizo isha omba omba.

Hawa ni mabinti wadogo kwa wakubwa. Wamejishusha thamani sasa hivi huwezi ukadunu nae tena maana yake anageuka kikwazo.
Ni tamaa zinazowaponza na kutaka kushow off kwa mashosti zao kuwa wana mtu anawaweka mjini, baada ya muda wanaanza kurogana wenyewe kwa wenyewe na kufungana ridhiki. Mademu wa kibongo ni uchwara tu siku hizi, ukipata unachapa tu na kusepa unawaacha kwenye mataa maana ukikaa naye hata wiki atakuroga tu uwe zezeta wake huku yeye likiwa limekaa tu halina la kufanya kazi kujichubua na kuteta wenzake.
 
Akiniomba zaidi ya buku lazima anilipe,waacheni waendelee kuomba wanaturahishia sana sisi madomo zege
 
Kuwa na demu/hawara ni gharama sana,wenye akili zao wanacheza na madada poa tu,hawa mademu wanatuuzia kwa gharama kubwa sana ,tafakari
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usipokua tayari kuliwa kidogo huli.
 

Hiyo strategy ya nne nmecheka sana
 
Sredi nyingi zimekuwa za malalamiko kuhusiana na mizinga.

Kulikoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…