Watunzeni na kuwalea vizuri mabinti, wanaharibikiwa

Mbona vyepesi Sana ya nn ulalamike , wewe akikuomba mwambie ijia , akitaka umtumie Kwa simu mwambie pesa yangu yakarungu yeye haitumwi mpaka uijie .

Sasa akija lazima atikiswe kwelikweli yaani tikisa tikisi lote mpaka akitaka pesa anakumbuka tikiso ajue kijasho kule hahahahha.
 
Ngoma Nzito!! Mwendazake aliharibu nchi ,enzi za JK kulikuwa hakuna malalamiko haya!! Anampa mama wakati mgumu sana.

Mabinti hawawezi kumuomba hela mtu ambaye hawamjui hata kidogo ,atamuomba mtu wa karibu ambaye amezoeana naye! Kama ni mpenzi wako hauna budi kumpa na iwe moja ya majukumu yako sio mpaka uombwe,weka ratiba ya kumpa kihasi fulani kwa mwezi kama mshahara.

Kwasisi tulioa hatuombwi pesa bali tunajua majukumu yetu na yapo kwenye dairy! Wakati binti akiwa hana uhusiano mahitaji yote aliyapata kwa wazazi wake ,kwasasa amekua hadi na wewe ukamshobokea hivyo ulitakiwa utoe barua na kumweka ndani na kumuhudumia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnatikisa kwel kwel hakuna hela ya Bure
 
Mahusiano ya sahv yana hitaji Uwe mjanja sana kusoma Alama za nyakati na akili ya mwenzako ...bila ya hivyo utaumia sana ..hawa wanawake wanaendekeza show off na tamaa za kijinga so unaweza ukawa unahudumia fresh lakini kumbe kawapanga mko kama wa tano kote anachuma tuu ...
 
Kuna mijitu humu inataka kujifanya yenyewe Ndio inahela ....kumbe njaa tupu.

Kifupi wanawake Wa sasa ni kichefu chefu yaani wenyewe na pesa pesa na wenyewe hadi kufukia kuuza utu wao kisa vipesa ambavyo vinachosha na kutanua maungo yao bila sababu za msingi.

Kila mwanamke anataka kupendeza bila kufanya kazi mwisho wake wanaambulia kupigwa pipe tu bila mafanikio yoyote.

Asipo kuomba lazima akukope ....basi tufanye wanaombwa ni wanaume walio watonhiza . je hawa wanaokopwa alafu hawalipwi nao wanakosa gani ........?

Nyie vijamaa mnao jifanya mnahela
Na kutetea upuuzi Wa wanawake wanao taka haki za Mke huku wao hawataki kuwa wake .
 
Jamaa wanajigamba kama wamiliki wa GSM kumbe mmoja displin master na mwenzie kajitolea Mchambawima Secondary
 
Sredi nyingi zimekuwa za malalamiko kuhusiana na mizinga.

Kulikoni?
Ni ukweli ambao umekithiri sana! Tatizo hili halikuwepo kabla ya utandawazi na maisha kuwa ya gharama kama ilivyo sasa! Zamani mke anasuka twende kilioni uani kwake gharama sh.300 tu!

Akipaka na hina gharama hazifiki buku, ila hawa wa sasa Saloon msusi tu 40,000 wigi ni 150,000 yani ni balaa! Hapo sio mke wa mtu ila ana mataa ya kupendeza lazma apige mizinga apate hizo hela za kuendea saluni na kubadika kope na kucha. Lazma atembeze virungu take away kwa mabaharia kadha wa kadha!
 
Mbona wanawake wote walishakubaliana kuacha kupiga mizinga mwaka huu kwa imekuaje tena
 
Daah!! Mkuu hoja ya nne umemaliza na kuvunja mbavu [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…