Daah!! Mkuu hoja ya nne umemaliza na kuvunja mbavu [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
mkuu ebu na wewe badilika bana!Sasa hivi tuna wahitaji wapya mtaani wenye shida zisizo isha omba omba.
Hawa ni mabinti wadogo kwa wakubwa. Wamejishusha thamani sasa hivi huwezi ukadunu nae tena maana yake anageuka kikwazo.
Anakuomba hela kila dakika ili mradi una mawasiliano nae. Sio hela ya vocha kusuka, simu, kodi, nguo na nauli.
Kuna kitu hakipo sawa basi tuangalie ni namna gani ya kuwasaidia hawa watu maana yake hiki kitu kawashusha sana thamani ya utu wao.
- Je tuseme ngazi ya familia imeshindwa kuwatunza hawa mabinti?
- Au je ni tamaa zao kutaka vitu vilivyo nje ya uwezo wao?
- Au je ndio wanauza kijanja?
- Au je ni nipe nikupe?
nimeipenda sana. Na hii umeiweka vizuri sana kwa sisi wanaume kuweza kuwaelewa wanawake.Ni tatizo complex hili na utatuzi wake unahitaji major changes kwa wanawake na wanaume pia.
Wanawake kuomba huwa ni very strategic labda hamjui tu.
First scenario ni anakuomba Ili uchoke kutoa usepe zako huko kwa vile hajakupenda. Hii ni category sana ya waume za watu afu mifuko yao haisomeki.
Second ni kwamba intially hajui anakupenda ama la lakini anakuomba Ili depth ya mfuko wako iongee apate kujua anakupenda ama la. Na hii inawakostigi sana wadada sababu wanaume ni wajanja mnooo. Watatoa na kama unapenda kulingana na pesa unayopewa basi wanasubiri unogewe wakugonge matukio kukukomesha ikiwemo kula line 2 ama kukuacha na kizygote na kusepa.
Thirdly, Ana shida kweli na Ana amini unampenda hivyo basi utamsaidia matatizo yake.
Fourthly, kabisa hako kanadanga tu hakana sababu manina zake. [emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2958][emoji2958][emoji2958]
nikimpata wa strategy ya tatu ntampenda na kumhudumia.Hiyo strategy ya nne nmecheka sana