Wauaji wataomba msamaha kwa Mungu na atawasamehe?

Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.

Usipolinda uhai wako wewe mwenyewe, usitegemee kuna Mungu wa kukulinda. Utauwawa kama kuku.

Hakuna Mungu.
Mungu ni Roho..

Yupo na anaishi
Na sio kila unaliliona kwako linafaa ndio kwake litafaa pia eti umuombe akujibu utakavyo!

Hekima zitumike katika hili! Wewe hujamuona kwenye maisha yako kwa sababu hujataka! Ila kwa wanaomwamini wamemuona kwa njia tofauti tofauti!

Mungu yupo! Amini unachokiamini!
 
Kwlei kabisa
 

Msamaha unahusu fidia.
Hilo unapaswa kulifahamu kwanza.

Uovu wowote usioweza kulipa fidia huwezi kuomba msamaha
 
Amesema ombeni nanyi mtapewa una jua ilo
Wimbo wa taifa la Tanzania umekuwa ukimtaja sana huyo Mungu kumuomba abariki nchi, bara la Afrika na viongozi wake.

Waafrika kila kukicha wanakesha makanisani na misikitini kumuomba huyo Mungu wapate Amani, haki na usawa kwenye nchi zetu lakini holaaa!!

Afrika imezidi machafuko, vita, mauaji, vurugu na ghasia za kila aina.

Viongozi wa Afrika ndio hawa wachumiaa tumbo, mafisadi na madikteta.

Sasa huyo Mungu anayesema ombeni nanyi mtapewa, Mbona hajawahi kutoa chochote kwa Waafrika wanao muomba na kumlilia kila kukicha?

Waafrika wanazidi kuteseka na kuuwawa kama kuku, licha ya kumuomba sana huyo Mungu.

Sasa huyo Mungu anayesema ombeni nanyi mtapewa, wakati Waafrika wanauwawa kama kuku, anakuwa kalala usingizi wa pono? Hasikii na wala hajibu ombi lolote..!!

Huyo Mungu kama yupo basi anastahili KUFURUSHWA huko alipo maana hana msaada wowote na HAFAI kabisa.
 
Yani Mungu sidhani kama yupo?

Huyu Johari afanyiwe kitu analopoka sana.
Wokovu ni gharama sana!

Usifikiri Mungu ni mganga wa kienyeji..

Mungu hana majaribio wala makandokando! Njoo kwa kumjaribu akupe unachostahili!
 
Kwahiyo hayo machafuko yalotokea hizi siku ngapi tayari umethibisha hayupo !

Basi nawe anazisha wimbo mwingine labda utaona mabadiliko!
 
Na kujiumba umejiumba?
Binadamu hawaumbwi.

Binadamu na viumbe wengine wote haviumbwi. Tunazaliwa.

Binadamu tunazaliana wenyewe kwa wenyewe.

Hata wewe hukuumbwa na Mungu, Mama yako alikuzaa.

We are self-existing.

Hakuna Mungu aliyeumba chochote kile.

Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
 
Mwana anatusaidia anafanya kazi zote ni wakili wetu, ila wote wanatenda kazi moja!
"Anafanya kazi ila wote wanatenda kazi Moja"

Hiyo kauli yako sijaelewa kabisa, inakuwaje Miungu watatu wafanye kazi Moja, alafu inakuwaje mungu mmojawapo awe wakili wetu?
 
Ana jibu kwa wakati
 
Binadamu hawaumbwi.

Binadamu na viumbe wengine wote haviumbwi. Tunazaliwa.

Binadamu tunazaliana wenyewe kwa wenyewe.

We are self-existing.

Hakuna Mungu aliyeumba chochote kile.

Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
Wewe una amini binadamu alikuwa sokwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…