EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #301
Good mwanaSawa jirani,service zangu nafanyia hapo kwenye garage ya N'shomile opposite kabisa na Ofisi za Rungwe express,karibu na huo uzio wa Tanesco hapo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hahahaha sawa mkuu!Kiuwezo wa kimahesabu yaani kuangalia uwezo wake wa engine na uzito anauobeba kimahesabu inakubali kabisa kupanda na 80km/hr.
Kwenye uhalisia haiwezi ikashindana na benz au scania kwa power (uwezo) wa kuinuka na zote mlimani hapo ndipo Sauli anapowaacha zaidi,ukija kukaa sawa mwenzio ameshafika mbali kutokana na uwezo wake wa kuinuka mlimani.
Kila gari ina sifa zake kwa maeneo yake,achana na scania mlimani labda umvizie sehemu za tambarale hapo kamtafutu tu na hiyo michana sehemu hizo za tambarale nayo iache iende mkuu,inamwagika sio kitoto na ndio maana Kureed/Hunters ya Mwanza japo ni gari lenye uwezo mkubwa au Phonex DVD wote hao wanageuka/wanaagukia kwenye kundi la mizaha kwa njia ya Mwanza,Kureed kuwamwaga watu Nyegezi saa tisa za usiku kawaida sana kwake wakati Ally's anawaleta chini ya saa sita usiku tena hadi saa 4 akivurugwaga vizuri sababu njia ya kati sehemu kubwa ni tambarale,pale michina ina shine mkuu kwakuwa hawana miinuko mingi inayowafanya washindwe kuchanganya haraka.
Kureee hiyo hiyo ingeenda Mbeya ingekuwa kwenye topthree za juu kila siku.
Hiko ndicho kilicho kwenye Sauli
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaah lol.Huwezi amini,kuna watu wa kila aina,wapo askari,walimu,madokta,bodaboda uliowasema na kila aina ya watu wenye kupenda mabasi.
Yupo mmoja alikuwa anafanya kazi Hospitali pale Iringa mjini,ikifika mida ya mabasi anaenda Ipogolo kupiga picha na kwasasa alipewa tender ya kuitangaza basi mpya ya Kureed/Hunters ya Dar_Mwanza,alilipwa mkwanja mrefu sana kuliko hata hela ambayo angeweza kuikopa kwa kazi yake
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kabisa tena pure, kutoka kwa wazazi wote wawili.Kumbe toto la kingoni
Tunapozungumzia milima sio lazima iwe miiiingi ila kiuhalisia toka Morogoro kuja Mikumi its almost unapanda tu,toka mikumi pia unapanda panda tu kwa kiwango kikubwa,pia utapanda kitonga then ukitoka Changalawe (Majinja) unapanda kwa kiasi fulani utakaa sawa uwanda wa Makambako,ukitoka pale kuja Mpakani pia unapanda,ukitoka Igawa utapanda pia kwa kiasi fulani kuna vimilima milima vya hapa na pale hadi kuitafuta Mlima Nyoka pale relini kwa Tenende,toka pale unakuja unapanda tena hapo Tazama kuitafuta Uyole>Mbeya hiyo mkuu.Swali la ufahamu toka Dar hadi Kitonga kuna milima ningapi??
Toka kitonga hadi Igurusi kuna milima mingapi
Toka hapo hadi Tunduma kuna mipando mingapi
Ili Hoja yako iwe VALID
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahWacha niombe huduma kumbe yan
SaaaanaAmeshakua celebrity
Hujalala mamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaah lol.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa unatafuta sababu so unataka [emoji1662][emoji1662][emoji1662][emoji1662][emoji1662] ashuke tuuuTunapozungumzia milima sio lazima iwe miiiingi ila kiuhalisia toka Morogoro kuja Mikumi its almost unapanda tu,toka mikumi pia unapanda panda tu kwa kiwango kikubwa,pia utapanda kitonga then ukitoka Changalawe (Majinja) unapanda kwa kiasi fulani utakaa sawa uwanda wa Makambako,ukitoka pale kuja Mpakani pia unapanda,ukitoka Igawa utapanda pia kwa kiasi fulani kuna vimilima milima vya hapa na pale hadi kuitafuta Mlima Nyoka pale relini kwa Tenende,toka pale unakuja unapanda tena hapo Tazama kuitafuta Uyole>Mbeya hiyo mkuu.
Na ndio maana bajeti ya mafuta kwa njia ya Mbeya inaizidi bajeti ya mafuta ya Mwanza kwenye mabasi.
Ukitoka Dar kwenda Mwanza unapanda Saranda tu na Muhalala pale unainukia Sheli ya Afro Oil Manyoni.
Ukitoka hapo unatambaa na zote
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Haa haa haaa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa unatafuta sababu so unataka [emoji1662][emoji1662][emoji1662][emoji1662][emoji1662] ashuke tuuu
Hapa kama gari yako haijawahi kumaliza 180km/hr basi haifiki tena popote duniani.Haa haa haaa.
ila kiukweli barabarani kuna raha yake mkuu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Hahahahaha ama kweli JF ni full BURUDANI
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2299][emoji2299][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1631][emoji1631][emoji605][emoji605][emoji1632]Hapa kama gari yako haijawahi kumaliza 180km/hr basi haifiki tena popote duniani.View attachment 1853968
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app