mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,387
- 2,444
Hahahaha mabehewa ya sauli..[emoji38][emoji38][emoji38]Katoka leo anaenda Tunduma apo 11:21 out kashatoka aljazeera toka Dar bado anayaswaga mabehewa ya Sauli
Acha kbsa L360 Cummins [emoji119][emoji119] hii 95 F310 (Sauli) hawezi kufata huu moto
Siku ya 6 hii leo wanavutwa tokea Dar to uyole mbeya [emoji28][emoji28]
Asa Mkuu kuna ile ya ostadhi Rama 711[emoji119]
Kuna siku tumetoka Kigoma tukaingia saa tisa na nusu Singida tukapelekwa kituo cha polisi tukaka masaa mawili ndo wakatuachia! Coast line balaaaNina Uhakika is ingekuwa Ving'amuzi Coast Line angeshauwa Sana .. Vile vigari bodi Nyembamba Arusha - Kigoma Ni Balaaa... Vinateleza Kama nyoka...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1662][emoji1662]Katoka leo anaenda Tunduma apo 11:21 out kashatoka aljazeera toka Dar bado anayaswaga mabehewa ya Sauli
Acha kbsa L360 Cummins [emoji119][emoji119] hii 95 F310 (Sauli) hawezi kufata huu moto
Siku ya 6 hii leo wanavutwa tokea Dar to uyole mbeya [emoji28][emoji28]
Asa Mkuu kuna ile ya ostadhi Rama 711[emoji119]
Zitaendelea kuja kaa hapahapa[emoji1756][emoji1313][emoji1313]Wadau endeleeni basi kuweka caption za mwamba,hakika hazichoshi.
Hao miamba nao nasikia ni balaaKuna siku tumetoka Kigoma tukaingia saa tisa na nusu Singida tukapelekwa kituo cha polisi tukaka masaa mawili ndo wakatuachia! Coast line balaaa
Kuna jamaa mmoja aliwahi kuniambia hp si kigeza cha speed nikamuuliza kwanini 1hz-129hp na 1hd-165hp zikiwa kwenye body sawa mbn 1hd inaizid 1hz?majibu yake hayakuwa yakuridhisha,mwenye utaalamu atupe elimu plse.Katoka leo anaenda Tunduma apo 11:21 out kashatoka aljazeera toka Dar bado anayaswaga mabehewa ya Sauli
Acha kbsa L360 Cummins [emoji119][emoji119] hii 95 F310 (Sauli) hawezi kufata huu moto
Siku ya 6 hii leo wanavutwa tokea Dar to uyole mbeya [emoji28][emoji28]
Asa Mkuu kuna ile ya ostadhi Rama 711[emoji119]
[emoji851][emoji851]Wadau endeleeni basi kuweka caption za mwamba,hakika hazichoshi.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]"Ndugu abiria jana mnavyojua njia ya kwenda mbinguni ni nyembamba so mkiniona naingia kichochoroni ujue imeisha hiyoooo."
Hii kali aisee"Ndugu abiria mwambieni pastor anayehubiri huko nyuma aache, Nina mapepo na tupo kitonga hapa"
Unasemaaaa akaendeshe hii pullingKweli aende hata Zambia akasukume Chuma za Lusaka-Harare-Joberg-Windhoek kwenye Power Tool,Juldan Motors.
Ndio, anaweza vizuri na ana experience ya muda mrefu barabarani.
primary kasoma wapiWaubani Ali, mtoto wa mzee Chochea, wakazi wa barabara mbili - Iringa mjini. Toka primary mwili huohuo.. anaupiga mwingi sana barabarani, acha aendelee kutupa burudani twitani.. T712DPK anaiheshimisha sana
Wabongo tunajuana wanaopenda kwenda nje kupata exposure ni wachache mno.....Ndio, anaweza vizuri na ana experience ya muda mrefu barabarani.
Iringa, shule ya msingi Wilolesiprimary kasoma wapi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1873292