Wauguzi walimwambia anawasumbua akajifungua sakafuni, kichanga chafariki

Wauguzi walimwambia anawasumbua akajifungua sakafuni, kichanga chafariki

Hiko kizazi cha hiyo mijimama kinaenda kuisha very soon...
Kinakera kaka..

Yaani sisi vijana wadogo tumeamua kusoma uuguzi na kumeadapt mazingira mtaani kwa kupenda au kutopenda.

Ila hawa wakina nitingale wanakera Sana wanaona wamemaliza maisha.

Wanairudisha sana nyuma kada yetu ya uuguzi hii kada ikitaka iendelee.

Itoe mijimama yote ile kwenye Uongozi wa juu pale ...

Iwaweke fresh zenye Experience hawa Vijana kutoka Muhimbili,bugando,kcmc wenye Skilled na Accuracy katika kazi
 
Sasa mkiikimbia kada yanu nani atakuwa muokozi[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nimesoma uuguzi ila sitamruhusu mwanangu asomee hii course.

Mimi nikienda kusoma bachelor hii course ya uuguzi nitabadilisha na ndo nilichokiamua.

Uuguzi hawa wamama watu wazima ndo wanaouharibu sana mimi nimeshawahi kufanya kazi HC moja ya serikali kiukweli nilikuwa nagombana sana na hawa mama nurse watu wazima wana majibu ya ovyo kwa wagonjwa na hawana utu.

Yaani mimi ni muuguzi ila sijivunii kuwa muuguzi.

Kwa sasa nafanya biashara tu
Umeacha uuguzi?
 
Sasa mkiikimbia kada yanu nani atakuwa muokozi[emoji3][emoji3][emoji3]
Kada Yetu inadharaulika sana kaka Ujue tunatumia nguvu nyingi kuitengeneza halfu kuna Mpumbavu mmoja anasababisha Yote haya tuendelee kuonekana wote wapumbavu.

Mshahara wenyewe laki ....kadhaa jeuri kibao na dharau zisizo na maingi wote
 
Hai. Mkazi wa Wilaya ya Hai, Happiness Massawe (39), amegoma kuchukua mwili wa kichanga hospitalini kwa wiki moja akidai kifo cha mtoto wake kimetokana na uzembe wa baadhi ya wauguzi.
Nusu saa uko sakafuni na wauguzi wanakuambia sukuma ukiwa hapo sakafuni??? Na mtoto akatoka akaanguka at the time uko sakafuni na wao wapo??

Some thing wrong wacha tusikie upande wa pili?
 
Report ya Dr iliandika Hivyo au mama yako ndo alikuambia.

Unajua issue ya maternal and fetal complications.

Unajua abnormal labour zinazojitokeza mwanamke akiwa Labour.
Walimwambia tu samahani,mtoto ametushinda.....yeye ni C-section....alipojisikia uchungu akakimbilia hospital njian alijisikia kupush,lakini Mwenyezi Mungu alimfikisha hospital salama,wauuguz wakampokea ingali anaendelea kupiga kelele kuwa anataka kupush,kumwingiza leba nesi mmoja akasema huyu ni C-section akapasuliwe nadhani baada ya kuona ule mshono....wakaleta kitanda chao apelekwe chumba husika ...kile kitendo cha kunyanyua mguu apande mtoto akazaliwa na kudondoka chini kwa kuangukia kichwa(mwisho wa siku wakaishia kusema sema "samahani mtoto ametushinda).....ukitaka kisa kingine nikuhadithie nilichoshuhudia mtoto wa kilo 5 alivyokufa mbele ya macho yangu kwa uzembe wa manesi wakati nikijisubiria leba(usiwe mkali tu,kila sekta haikosi watu wazembe ndugu)
 
Hai. Mkazi wa Wilaya ya Hai, Happiness Massawe (39), amegoma kuchukua mwili wa kichanga hospitalini kwa wiki moja akidai kifo cha mtoto wake kimetokana na uzembe wa baadhi ya wauguzi.

uni wakaenda kumuita daktari, huku wanaendelea kumkagua yule mtoto baada daktari kuja ndio akawambia wanitoe pale chini ndipo wakaniweka kitandani na kuanza kunifanyia usafi.”

Mwanamke huyo aliiomba Serikali kuwachukulia hatua wauguzi hao akidai kifo cha mwanaye ni uzembe wa wakunga na angepewa msaada wangeokoa mtoto huyo.

Mwananchi
Naunga mkono wafanye uchunguzi wa kina ili HAKI ipatikane kwa wote, nina maswali machache najiuliza:
1. Circumstance zipi zimepelekea mama kujifungulia sakafuni?
2. Kuanguka kwa mtoto ndio chanzo cha kufariki kwa mtoto?
3. Nurse kwanza hakusikia mapigo ya mtoto na akapelekwa ultrasound ikaona mapigo which information we should rely?
4. Kutoka kwa damu mabonge-mabonge na uchungu mkali je haikuwa tatizo kama abruptio placenta?
5. Kunaonekana kulikuwa na changamoto ya kusukuma, je second stage of labor ilikuwa vipi?
6. Kulikuwa na barrier yoyote ya mawasiliano yaliyosababisha kifo or any abuse of words kwenda kwa mama?
 
Back
Top Bottom