Wauguzi walimwambia anawasumbua akajifungua sakafuni, kichanga chafariki

Hakuna watu wenye roho mbaya kama manesi kila mahali duniani,
Wengi wao wamevuka ubinadamu na kuwa wanyama tena wala nyama

Huku [emoji636] kuna mwanamke nurse aliuwa vichanga 7 na wengine 10 aliokusudia kuwauwa
Tena anasema I am evil bila huruma

Kuna mama alijifungua mapacha alienda kufanyiwa vipimo kurudi anamkuta anamuuwa mwanae mmoja wa siku 5
Alipiga kelele akaambiwa Trust me I am a nurse

Kuna nurses wengi wauwaji halafu mtu anauwa mke badala ya hawa washenzi wanaostahili shaba

Huwa nikiona nesi ana bully mgonjwa huwa anaipata kwangu sina huruma kwa wenye roho mbaya kama hawa

Hata kama mnachoka ila sio kwa ukatili huu
Shame on you guys

Hawa ni zaidi ya sheitani
 
Hebu tupee kidogo bibie. Halafu most wa kg 5 wanazaliwa wana kisukari
Hebu tupee kidogo bibie. Halafu most wa kg 5 wanazaliwa wana kisukari
Ni hospital Fulani hapa mbeya nilienda nikiwa na uchungu,nilipofika walinipeleka leba kule walinilaza kitandani kama kawa ili wanihudumie lakini uchungu ukakata ghafla,so ukawa unakuja unakata...pembeni yangu alikuwepo mwanamke Mwingine,nae akawa anasema uchungu unakuja kas unakata...lakini alikuwa ni MTU amechoka sana nadhani kwa sababu alikaa sana mule ndani....sasa si unajua tena hospitali za serikali tunaokwenda ni wengi....ivo vitanda vikafull wakaanza kulaza watu wawili wawili huko kwenye wodi la kujisubiria,so MTU uchungu ukikolea waingizwa leba...sasa kuna dada uchungu ulimfika akaingizwa mule tulimokuwa,kwa sababu tumejaa wakaanza kuwashusha wale waliokaa leba kwa muda mrefu ili wapande wengine wenye uchungu wa chap,yakamkuta jirani yangu,muda huo uchungu umemkolea na akawaambia anajisikia kunya lakini hawakumsikiliza,wakawa wanajisemesha eti.."huyu tunae tangu asubuhi" yule Dada akawa anashuka chini yaan kile kitendo cha kuanza kushusha mguu mmoja utue chini... Maji pwaa,mtoto ndii....wakaanza kuhudumia hapohapo chini but it was too late...kidume alikata moto.Nililia kama mtoto yatima aliyenyimwa chakula na bado huwa naumia. witnessj
 
Ni kwanini Wana maroho hayo sasa?
 
Mungu wangu duuuh[emoji24][emoji24]...I feel pityd daaah!
 
Comment ya ovyo sana hii emu jaribu kuvaa viatu vya huyo mama alafu ndio ungekuwa mume wake na huyo mtoto ndio mlikuwa mnamtarajia kwa hamu ungeandika hivi kweli?
Kwani kakosea nini? (kuna lipi baya alilozungumza kuhusu huyo mama?)

Mbona mimi naona kama kaenda kujipanga kuwasema vibaya hao manesi au wewe mwenzetu umeelewaje?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama mtu amekuja Labour akiwa na Previous scar kiukweli hapo ilibidi aende Ceaserean section nahisi pia walikuwa indication nyingine iliyowafanya wakimbilie Kutaka kumfanyia Hivyo.

Maana Kuanguka Kwa mtoto ni Unplanned So hakuna nurse amepanga hilo litokee.

Tena Trial of labour kwa mwanamke aliyefanyiwa operations mwanzo inafanyika nowadays zamani moja kwa mona ilikuwa kisu.
 
Uuguzi ni wito kama ulivyo ualimu, utawa n.k

R. I. P Mama niliona jinsi hii kazi ilivyo inataka moyo sana. Kipindi niko mdogo niliwahi kumuuliza mama mbona unaenda kazini mpaka jumapili akanijiibu hata magonjwa hayachagui siku ya kukuingilia. Wabarikiwe wauguzi wanaofanya kazi hii kwa ufasaha na usawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuna baadhi ya manesi wana roho mbaya sana majungu wao unafiki wao,umbea wao
 
Utashangaa wanatolewa hapo wanahamishiwa pengine ili waendelee kuua watoto wengine.
 
Abnormal labour ni zipi mkuu?
Aisee ziko nyingi sana nakutajia baadhi.

Multiple pregnancy
Placenta preavia
Placenta abruption
Malpresentation
Fetal Distress and maternal
Previous scar
Opp
Transverse lie.
Obstructed labour.
Prolonged labous
Mismanagement of second stage of labour
Mismanagement of Third stage of labour.
Eclamsia.
PPH
Cervical Tear.
Shoulder dystocia



Hizi kuna zinaonekana kabisa kuanzia wiki ya 37..na nyingi zinakuja kujitokeza mwanamke akiwa labour.

Hivyo ukiona mwanamke amefanyiwa operations lazima iwepo indication hakuna mtu atafanyia procedure bila sababu ila mara zote uwa ni Emergency
 
 
Ni kwanini Wana maroho hayo sasa?
Wengi wanauwa kwa sababu wanaowauwa hawawezi kujitetea na hata wakishtukiwa vichanga havisemi maskini

Na wengine wanaingia hii kazi wakijua wana roho mbaya na wanakuja kuonyesha roho zao mbaya

Kuna majala ujisomee utaona mengi ndani yake mpaka unaogopa kuhusu hawa viumbe

Na pia unaweza kumjua mbaya kwa kuwafuatilia kidogo sana maana wa kwetu wanaonyesha wazi roho zao mbaya
Tofauti na wenzetu
Wengi wanauwa na hawajulikani mpaka kushtukiwa kwenye kitengo na kuonekana mbona kwake tu wanakufa?

Hapo ndio wanaanza kuwafuatilia hata Doctors wapo wauwaji na wanauwa sana pia
 
Hata isipokuwa kwa mkono wa sheria watalipa chozi la uyo dada
 
Yes, umejuaje?[emoji3]

Unaposikiliza mapigo ya mtoto unasikia na ya mama pia, hivyo inapaswa uwe makini kudifferentiate.

Mtoto alikuwa kashafia tumboni, ndiyo maana hakulia.
Chanzo zaidi huwa nini mtoto kufia tumboni? Na je mama anaweza kujua kua mtoto kafa tumbon? I.mean zile movements za mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…