Shia sio waislam au ni waislam?
Anaekufuru anaendelea kua muislam au akikufuru kajivua uislam??
Kama Shia sio sio waislam kwahiyo wanakosea kujinasibisha na uislam ilhali sio waislam, ni dini gani hao watu?
Na mwisho huoni kua bado unabaki mulemule kua wewe unaamini hicho uaminicho ndio sahihi zaidi na wengine wanakufuru
Nadhani ukubali kua kuna watu katika huohuo uislam wanaamini tofauti na uaminivyo wewe, na anaejua kukosea au kupatia kwao ni Allah na sio wewe.
Hasa haya mambo ya ibada ambayo ni mapokeo na simulizi zaidi, kila mtu ana namna ya kuelewa na kutafsiri maandiko.
NILICHOONGEA NDICHO NACHOKIAMINI AU NDICHO KILICHOPO KATIKA SHERIA YA KIISLAM!?
Una kichwa kigumu mzee,nilivyoelezea hapa ni SHERIA YA UISLAM INAVYOTAKA sio imani yangu wala utashi wangu.
Hata mimi nikikiuka hizi sheria zitanihukumu hivi hivi.
Mashia sio waislam kwasababu zifuatazo;
1)Wanawapinga companion wa mtume ambao walishika uongozi baada ya mtume kufariki(Omar,Abubakar,Uthman).Ilhali wao ni warithi wa mtume,ukiwapinga wao ni sawa umempinga mtume.
2)Wanatamka shahada ambayo mtume hakuitamka,na post yangu kule juu nimeitaja shahada yao.
3)Wana hijjah/pilgrimage yao ambayo ni NJE NA hijjah ya uislam ya Suadia.Wao wana hijjah yao mpya ya Karbalah.
Sababu zipo nyingi ila hizi zinatosha,HAYA NILOELEZA NDIZO SHERIA ZA UISLAM SIO MATAKWA YANGU BINAFSI MZEE.
Amini uaminivyo ila ukitoka nje ya sheria UMEKUFURU.
Sheria hizi hizi zilimtia hatiani mtume,ukitaka mifano nakuletea.
Na ukikufuru hauhesabiki kama muislam ili uhesabike muislam tamka upya shahadah kesha utubu na uape kutokurudia kufuru ulioifanya mwanzo.
Tofautisha kukufuru na kutenda dhambi.
Na sheria hizi zinatoka katika wasifu wa mtume(sunnah) na Qur'an,na ndivyo vitu alivyotuachia navyo mtume tujiongoze navyo.
Sijatunga mimi.
Sasa wewe unaongea nadharia zako ukizichanganya na nadharia za watu.Mie nakuelezea uhalisia wa uislam nini unataka na sheria zilivyo unasema nalazimisha uamini nachokiamini.
Aiseeee!Bora ujinga kuliko upumbavu.