Waumini wa Gwajima: Someni ujumbe wa Alberto Msando DC wa Ubungo, muwe makini kesho

Waumini wa Gwajima: Someni ujumbe wa Alberto Msando DC wa Ubungo, muwe makini kesho

ngaiwoye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
2,583
Reaction score
4,009
Ameandika kwa lugha ya kilatini na kingereza. Alberto ndie kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama mahal pale yalipo makao makuu ya taasis/kanisa lenu
 

Attachments

  • Screenshot_20250614-131314.jpg
    Screenshot_20250614-131314.jpg
    419.5 KB · Views: 24
Ameandika kwa lugha ya kilatini na kingereza. Alberto ndie kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama mahal pale yalipo makao makuu ya taasis/kanisa lenu
Utakuwa mjinga km pamoja na maelezo yote ya kilichotokea na vile kesi imefanyika bado unatia watu hofu..kwa maneno ya hivi generation yako itakuwa ya mazombie..!
 
Ameandika kwa lugha ya kilatini na kingereza. Alberto ndie kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama mahal pale yalipo makao makuu ya taasis/kanisa lenu
Huyu jamaa huwa ananichekesha sana anajionaga ana akili sana kumbe si lolote si chochote...yeye kama ni mpagani atulie na Gigy money wake!
Huwezi kushindana na kanisa Never!
 
DC wa makono kunawa kwa Giggy kimsingi hana hata sifa katika utumishi wa Umma katika jamii zilizostaarabika hata kwa tamaduni zetu
 
Utakuwa mjinga km pamoja na maelezo yote ya kilichotokea na vile kesi imefanyika bado unatia watu hofu..kwa maneno ya hivi generation yako itakuwa ya mazombie..!
Eti Hawa kina msando ndio tuliwategemea kwenye opposition miaka michache iliyopita!
 
Alifanikiwa vipi kupita pale TSL Huyu mwehu?
 
Eti Hawa kina msando ndio tuliwategemea kwenye opposition miaka michache iliyopita!

Tatizo wakoshahamia upande wa pili huwa kama wanafumuliwa vichwa, ubongo unatolewa na kuwekwa kando, halafu kichwa kinafunikwa...
 
DC wa makono kunawa kwa Giggy kimsingi hana hata sifa katika utumishi wa Umma katika jamii zilizostaarabika hata kwa tamaduni zetu
"unapewa kazi ya umma unarukaruka na wanawake mtaani?"

Umerukaruka na wanawake wa mtaani mpaka unajirekodi kisha fisiemu inakupa kazi ya umma?
 
Nadhani cheo cha "mwenyekiti wa kamati ya usalama" ilikua sio mahala Pake, angetumia cheo cha DC.
Kuna dalili yoyote ya uvunjaji wa amani pale kanisani? Wana historia yoyote ya kuvunja amani wale? Je, wamefungiwa kwasababu ya uvunjifu wa amani? Kwangu mimi majibu ya maswali yangu yote 3 ni NO then why utumie cheo cha "mwenyekiti wa kamati ya usalama"? Mhe DC ni mwana sheria by professional, nje ya siasa, hata yeye anajua hili sio sawa lakini kwasababu ya siasa, analazimika kufata upepo tu; sijagusia kabisa imani yake ya kidini.
 
Wasomi wa Tanzania wana vituko sana.
"unapewa kazi ya umma unarukaruka na wanawake mtaani?"

Umerukaruka na wanawake wa mtaani mpaka unajirekodi kisha fisiemu inakupa kazi ya umma?
 
Mtumishi wa umma kuwaandikia Watanzania Kilatini na kutafsiri Kiingereza bila kutafsiri Kiswahili ambayo ndiyo lugha inayoeleweka kwa wengi ni dharau kubwa sana.

Bora hata angeandika Kilatini na kutafsiri Kiswahili.

Au hata angeondoa kabisa Kilatini na kuielezea hoja tu kwa Kiswahili na kuitaja kesi.
 
Back
Top Bottom