Waumini wa Gwajima: Someni ujumbe wa Alberto Msando DC wa Ubungo, muwe makini kesho

Mtumishi wa umma kuwaandikia Watanzania Kilatini na kutafsiri Kiingereza bila kutafsiri Kiswahili ambayo ndiyo lugha inayoeleweka kwa wengi ni dharau kubwa sana.

Bora hata angeandika Kilatini na kutafsiri Kiswahili.

Au hata angeondoa kabisa Kilatini na kuielezea hoja tu kwa Kiswahili na kuitaja kesi.
Wakishakaa kwenye yale maviti ya magurudumu wanazunguruka tu ofisini na wanajisahau sana
 
Ameandika kwa lugha ya kilatini na kingereza. Alberto ndie kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama mahal pale yalipo makao makuu ya taasis/kanisa lenu
Mwsho wake umewadia kujiinua kwake atashushwa mpka chin Kwa aibu
 
Mtumishi wa umma kuwaandikia Watanzania Kilatini na kutafsiri Kiingereza bila kutafsiri Kiswahili ambayo ndiyo lugha inayoeleweka kwa wengi ni dharau kubwa sana.

Bora hata angeandika Kilatini na kutafsiri Kiswahili.

Au hata angeondoa kabisa Kilatini na kuielezea hoja tu kwa Kiswahili na kuitaja kesi.
Kilatin chenyewe hicho Cha ChatGPT! Upambavu tu
 
Ameandika kwa lugha ya kilatini na kingereza. Alberto ndie kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama mahal pale yalipo makao makuu ya taasis/kanisa lenu
Anayekumbuka wagombea wa Chadema walikoseaje majina yao kwny uchafuzi wa s/mitaa 2019 atukumbushe pls.
 
Ameandika kwa lugha ya kilatini na kingereza. Alberto ndie kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama mahal pale yalipo makao makuu ya taasis/kanisa lenu
Sasa kwani wanajua kilatini
 
Msando anamaanisha kuwa kesho ataua waumini, maana kukosewa kwa jina kisheria siyo ishu ili mradi kanisa lengwa linajulikana.
 
Huyo Kibatala na Msando wote mapoyoyo tu.

Kibatala hajui taasisi ya kanisa ni ‘independent legal status’ sio kiongozi wake. With a good lawyer kesi ya Gwajima sio ya kushindwa, serikali is in the wrong.

Na Msando japo yupo sahihi ila hajui ‘hierarchy of laws’ you can’t quote a case law ‘where there is a parliament law’.

Hawa watu hawawezi shinda kesi nje ya Tanzania, they just don’t understand law (just bad lawyers).
 
Back
Top Bottom