Wakishakaa kwenye yale maviti ya magurudumu wanazunguruka tu ofisini na wanajisahau sanaMtumishi wa umma kuwaandikia Watanzania Kilatini na kutafsiri Kiingereza bila kutafsiri Kiswahili ambayo ndiyo lugha inayoeleweka kwa wengi ni dharau kubwa sana.
Bora hata angeandika Kilatini na kutafsiri Kiswahili.
Au hata angeondoa kabisa Kilatini na kuielezea hoja tu kwa Kiswahili na kuitaja kesi.
kwamba anahamu ya kusugua papa la gigy au?Anamuona kila mtu Gigy.....
Mwsho wake umewadia kujiinua kwake atashushwa mpka chin Kwa aibuAmeandika kwa lugha ya kilatini na kingereza. Alberto ndie kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama mahal pale yalipo makao makuu ya taasis/kanisa lenu
Kilatin chenyewe hicho Cha ChatGPT! Upambavu tuMtumishi wa umma kuwaandikia Watanzania Kilatini na kutafsiri Kiingereza bila kutafsiri Kiswahili ambayo ndiyo lugha inayoeleweka kwa wengi ni dharau kubwa sana.
Bora hata angeandika Kilatini na kutafsiri Kiswahili.
Au hata angeondoa kabisa Kilatini na kuielezea hoja tu kwa Kiswahili na kuitaja kesi.
Anayekumbuka wagombea wa Chadema walikoseaje majina yao kwny uchafuzi wa s/mitaa 2019 atukumbushe pls.Ameandika kwa lugha ya kilatini na kingereza. Alberto ndie kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama mahal pale yalipo makao makuu ya taasis/kanisa lenu
Alifanikiwa vipi kupita pale TSL Huyu mwehu?
Imefulia Ile the Don, naona swahaba wake Mahuna amekuja na aces, ni mwendo wa kuuza mabia tu..mawakil wajanjawajanjaMzee wa The Don
Sasa kwani wanajua kilatiniAmeandika kwa lugha ya kilatini na kingereza. Alberto ndie kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama mahal pale yalipo makao makuu ya taasis/kanisa lenu
Majeshi ya Bwana yapo kazini. Kila nayeshindana na kazi ya Bwana atapata stahiki yake! Mungu hadhihakiwi.🐼
Huyo Msanda anashindana na Gwajima au Kanisa?