Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Hujajibu swali post uliyoquote
Mna biblia sawaa lakini mmekengeuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mna biblia sawaa lakini mmekengeuka
Tumeshakueleza hapo awali ibada za sanamu ni nini lakini naona unarudia yale yale huu ni uzwazwaMkuu twende kanisa la mt Yosefu pale posta kesho tutajionea kwa macho ibada za sanamu
Umekimbia hoja zangu unashambulia wengineAkili Yako ndogo sana alisoma kitabu kama kitabu cha Nabii Isaya
Hiyo kazi ya kukusanya vitabu vyote na kuwa pamoja na kuitwa Biblia ni kazi ya Kanisa Katoliki
Zipo injili zaidi ya nne, je unafikiri kwanini hazikuwekwa hizo zingine
Zipo nyaraka nyingi tu ambazo hazipo humo kwenye Biblia
So wapi imetajwa katoliki hapo?Maskini unatumia biblia gani
Wakolosai 4:16 BHN
Mkisha soma barua hii, hakikisheni kwamba inasomwa na Wakristo wa Laodikea; na nyinyi fanyeni mpango mpate kuisoma barua waliyoipata wao
Ipi ambayo haijajibiwaUmekimbia hoja zangu unashambulia wengine
Umeelewa kifungu nilichotuma hapo??? wala sijataja katoliki ila naomba uniambie huo waraka/ barua iko wapi ?1
Ninyi akina bwana, wapeni watumwa wenu yaliyo haki na ya adili, mkijua ya kuwa ninyi nanyi mna Bwana mbinguni.
2
Dumuni sana katika kuomba, mkikesha katika kuomba huku na shukrani;
3
mkituombea na sisi pia, kwamba Mungu atufungulie mlango kwa lile neno lake, tuinene siri ya Kristo, ambayo kwa ajili yake nimefungwa,
4
ili niidhihirishe, kama inipasavyo kunena.
5
Enendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati.
6
Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolea munyu, mpate kujua jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.
7
Tikiko, ndugu mpendwa, mtumishi mwaminifu, mjoli wangu katika Bwana, atawaarifu mambo yangu yote;
8
ambaye nimemtuma kwenu kwa sababu iyo hiyo, ili mjue mambo yetu, naye akawafariji mioyo yenu;
9
pamoja na Onesimo, ndugu mwaminifu, mpendwa, aliye mtu wa kwenu. Hao watawaarifu mambo yote ya hapa petu.
10
Aristarko, aliyefungwa pamoja nami, awasalimu; na Marko, mjomba wake Barnaba, ambaye mmepokea maagizo kwa habari yake; akifika kwenu mkaribisheni.
11
Na Yesu aitwaye Yusto; hao ni watu wa tohara. Tena hao peke yao ni watendaji wa kazi pamoja nami kwa ajili ya ufalme wa Mungu; nao walikuwa faraja kwangu.
12
Epafra, aliye mtu wa kwenu, mtumwa wa Yesu Kristo, awasalimu, akifanya bidii siku zote kwa ajili yenu katika maombi yake, ili kwamba msimame wakamilifu na kuthibitika sana katika mapenzi yote ya Mungu.
13
Maana namshuhudia kwamba ana juhudi nyingi kwa ajili yenu, na kwa ajili ya hao walioko Laodikia, na kwa ajili ya hao walioko Hierapoli.
14
Luka, yule tabibu mpendwa, na Dema, wanawasalimu.
15
Wasalimuni ndugu walioko Laodikia, na Nimfa, na kanisa lililo katika nyumba yake.
16
Waraka huu ukiisha kusomwa kwenu fanyeni kwamba usomwe katika kanisa la Walaodikia pia; na ule wa Laodikia usomwe na ninyi.
17
Mwambieni Arkipo, Iangalie sana huduma ile uliyopewa katika Bwana, ili uitimize.
18
Salamu yangu mimi Paulo, kwa mkono wangu mwenyewe. Kumbukeni kufungwa kwangu. Neema na iwe pamoja nanyi.
So wapi imetajwa katoliki hapo?
Huo mstari wa 16 ni mzuri kweli emu nipe majibu huo waraka uko wapi1

Tafuta kwanza neno catholic kwenye kamusi uone maelezo yako yanavyochemka.Roma ni Italia. Waingereza, wajerumani, wagiriki, wahispaniola, na hata wahindi na wachina nao hawahusiki na Catholic.
Na wao wakatafute Mungu wao.
Umeelewa kifungu nilichotuma hapo??? wala sijataja katoliki ila naomba uniambie huo waraka/ barua iko wapi ?
Huo mstari wa 16 ni mzuri kweli emu nipe majibu huo waraka uko wapi
Hivi kwenye nyumba yako unaweza andika kuwa hii ni nyumba yakoUtapata jibu ukishajibu wapi kwenye biblia panaposema ni mali ya katoliki?
Wala siongelei mambo ya kuanzisha kanisa mimi nimekuuliza huo waraka uko wapi ??Huo mstari unawashushua mnaosingizia Yesu alianzisha kanisa
Hivi kwenye nyumba yako unaweza andika kuwa hii ni nyumba yako
Wala siongelei mambo ya kuanzisha kanisa mimi nimekuuliza huo waraka uko wapi ??
Lakini si kuandika ndani ya nyumbaNdio kwani nani anakuzuia. Na kila nyumba hati ipo ushahidi muhimu wasijeibuka matapeli kukudhulumu nyumba
Makuhani walikuwa viongozi waliochaguliwa na serikali... Vp hapa mkuu Serikali iliingiliaje dini .😂😂Ukweli ndio huo. Haiwezekani JF ijiite Home of Great Thinkers, halafu mtu aje kutetea hoja bila ya kuwa na maarifa nayo. Be informed kwanza, ili ukisema Utawala wa Warumi ndio hao hao Wakatoliki uwe na maelezo, usije ukachanganya serikali na dini
Basi ndo ujue Kanisa liliamua vitabu vipi viwepo vipi visiwepo maana vipo vitabu vingi sanaUliyeleta hilo somo ndio ujibu ulipo huo waraka
Lakini si kuandika ndani ya nyumba
Basi ndo ujue Kanisa liliamua vitabu vipi viwepo vipi visiwepo maana vipo vitabu vingi sana
Hivyo Biblia unayitumia leo ni zao la kanisa
Sasa Yesu alishuka kuzimu kufanya nini ??What a nonsense
Biblia inasema hivi katika Waebrania 9:27
"Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu"
Hayo mengine mmesema nyie kwamba mnaombewa na wafu