Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Nani kakwambia kuwa Mtu akimuamini Yesu hufa ????

Yn 11:25-26 SUV

Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi; naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele

Maana wao wamepata nafasi ya kutawala pamoja naye nao wanatuombea

Ufunuo 20:4 BHN

Kisha nikaona viti vya enzi na watu walioketi juu yake; watu hao walipewa mamlaka ya hukumu. Niliona pia roho za wale waliokuwa wamenyongwa kwa sababu ya kumshuhudia Yesu na kwa sababu ya neno la Mungu. Hawa hawakumwabudu yule mnyama na sanamu yake, wala hawakupigwa alama yake juu ya paji za nyuso zao, au juu ya mikono yao. Walipata tena uhai, wakatawala pamoja na Kristo kwa miaka 1,000.
Uko shallow saana mzee. Kwa hiyo huo ndo msitari wa kuhalalisha mashahidi wa Uganda wawaombee. Wakati tumepewa jina moja la Yesu
 
Umeshaelezwa sana tu kuwa kuwepo na sanamu katika kanisa haimaanishi kuwa vinasujudiwa ila sijui unataka nini?

Tumeshakupa mifano kadhaa kwenye hekalu kulikuwa na sanamu mbona Mungu aliyabariki hayo mahekalu wewe ni nani ambaye unamzidi Mungu
Wacha mambo yako wewe hayo manasesere yanapigiwa magoti na sadaka zinatolewa mfano sikukuu ya Krismasi sanamu la bikira maria na mti wa Krismasi pembeni linapigiwa magoti na sadaka inatolewa pale eti zawadi kwa mama Maria kumzaa Yesu
 
Uko shallow saana mzee. Kwa hiyo huo ndo msitari wa kuhalalisha mashahidi wa Uganda wawaombee. Wakati tumepewa jina moja la Yesu
Ndo hivo sasa kama unataka na wewe waombe wakuombee
Mimi ndo nawaomba taendelea kuwaomba nashida zangu zinatatuliwa kazi kwako
 
Wacha mambo yako wewe hayo manasesere yanapigiwa magoti na sadaka zinatolewa mfano sikukuu ya Krismasi sanamu la bikira maria na mti wa Krismasi pembeni linapigiwa magoti na sadaka inatolewa pale eti zawadi kwa mama Maria kumzaa Yesu
Ukitaka nawewe katoe zawadi hujakatazwa
 
Wewee acha mambo yako..hata ukichonga mwanasesere na ukaanza kuupigia magoti. Hiyo ni ibada kamili ya sanamu. Misalaba inapigiwa magoti mkiambiwa mwaabudu eti mnadai mnaheshimu. Huu ni upunguani
Haya naona unajitungia yako sasa basi, watu walianza kuiabudu sanamu toka zamani za Musa si ndo hivyo ???
 
Achana na masanamu ya kuchonga Yesu awe ndani yako na wewe ndani yake. Wao waliamria kwa ile sanamu , sisi kipindi chetu hakuna hayo mavitu tunamuinua Yesu tuu

John 3:14
[14]And as Moses lifted up the serpent in the wilderness, even so must the Son of man be lifted up:

Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa;
 
Nashiriki meza ya Bwana kwa kufanya hivyo Yesu hukaa ndani yangu
 
Wewee acha mambo yako..hata ukichonga mwanasesere na ukaanza kuupigia magoti. Hiyo ni ibada kamili ya sanamu. Misalaba inapigiwa magoti mkiambiwa mwaabudu eti mnadai mnaheshimu. Huu ni upunguani
Shida Yako hata ujasiri wa kutamka unasali Kanisa la Mchungaji nani huna.

Huoni wakatoliki walivyo majasiri na wanavyojivunia Imani Yao?
 
Achana na masanamu ya kuchonga Yesu awe ndani yako na wewe ndani yake. Wao waliamria kwa ile sanamu , sisi kipindi chetu hakuna hayo mavitu tunamuinua Yesu tuu

John 3:14
[14]And as Moses lifted up the serpent in the wilderness, even so must the Son of man be lifted up:

Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa;
Sanamu ilikuwa inakubaliwa enzi za agano la kale?
 
Ndiyo lakini kwa maelekezo, sasa ninyi agano jipya mmetoa wapi maelekezo ya kupigia magoti misalaba
Kwamba Mungu alikuwa anakubali ibada ya Sanamu agano la kale?

Ni kitu Gani kilimgeuza akaikataa kwenye agano Jipya?

Hujioni ulivyo na uelewa mdogo?
 
Ndiyo lakini kwa maelekezo, sasa ninyi agano jipya mmetoa wapi maelekezo ya kupigia magoti misalaba
Hiki ni kituko Cha Karne.

Nipe andiko Moja TU ambalo Mungu alikubali ibada ya Sanamu agano la kale NAMI nitakuja unibatize.

Narudia.
Nipe andiko Moja TU.

Acheni kukurupuka na maandiko.
 
Achana na masanamu ya kuchonga Yesu awe ndani yako na wewe ndani yake. Wao waliamria kwa ile sanamu , sisi kipindi chetu hakuna hayo mavitu tunamuinua Yesu tuu

John 3:14
[14]And as Moses lifted up the serpent in the wilderness, even so must the Son of man be lifted up:

Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa;
Nyoka aliyeinuliwa hakuwahi kuwekwa ndani ya hekalu.
Kwa hiyo mfano wako ni mfu.
Ndani ya hekalu palikuwa na Sanamu.
Niambie kazi yake ilikuwa Nini kama kweli umeiva kimaandiko.

1 Wafalme 6:23 :
Alitengeneza kwa mbao za mizeituni
sanamu za viumbe wawili wenye mabawa, kila sanamu ikiwa na kimo cha mita 4.5, akaziweka katika chumba cha ndani kabisa.
 
Back
Top Bottom