Umemaliza nini kijana tafsir zote mpaka Aya inasema demons au majini yalitumwa na Allah kutengeneza masanamu na wakayaweka msikitiniSiku nyingine uache uongo. Umeona tafsir ilivyo tofauti kijana. Jitahidi ila najua ukristo bila uongo hauendi.
Vipi kuhusu Maji ya Baraka na Rozari???Akili ndogo ndiyo mtaji wa makanisa ya kileo (they call it makanisa ya kiroho). Mnanyweshwa mafuta, maji ya Canadian halafu mnasema hamfanyi ibada za sanamu 🤣🤣🤣. Kunamtu akiumwa tu anakimbilia mafuta😎 my friend wewe na mchawi mpo kundi moja tofauti vifaa tu
Hujajibu ulichofanya ni kujificha kwenye kichaka Cha tafsir, na nimechoma kichakaNimeshamaliza kazi. Nasubiri unipe maana ya hii aya
1 Wakorintho
25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Lete hiyo aya inayosema hivyo. Yaani we kafiri aya iseme hivyo na uwe haujaleta?Umemaliza nini kijana tafsir zote mpaka Aya inasema demons au majini yalitumwa na Allah kutengeneza masanamu na wakayaweka msikitini
Walitengeneza pia mabeseni ya kutawazia
Swali ni kwanini Allah alitengeneza masanamu na kuyaweka msikitini? Usiangaike na tafsir wakati Aya ipo wazi
Masanamu yaliyokuwa yanawekwa msikitini wapi? Kwenye mstari upi hapo?Hujajibu ulichofanya ni kujificha kwenye kichaka Cha tafsir, na nimechoma kichaka
Sasa jibu kwa nini Allah alitengeneza masanamu na kuyaweka msikitini
Aya ipo wazi bila tafsir
Koran 64:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru
Huwa nacheka Sana huu ndio uzuri wa kuisoma dini na ku debate kwa kutumia maandiko Yao , yani kijana unapinga Uislamu mbele za watu , hili nimemaliza kamuuliza Faiza na ndugu yake kisai wanavyo niogopaMasanamu yaliyokuwa yanawekwa msikitini wapi? Kwenye mstari upi hapo?
1 Wakorintho
25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Suleiman Alie tajwa na Allah ndani ya Koran alikuwa dini gani ? Na alikuwa amejenga sehemu ya kuabudia hii nyumba ilikuwa inaitwaje? Allah kasema mapepo yalimjengea masanamu kama yalivyo ongozwa na Allah je unataka kupinga hilo?Masanamu yaliyokuwa yanawekwa msikitini wapi? Kwenye mstari upi hapo?
1 Wakorintho
25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Ila we kafiri chenga sana. Wapi Allah alitengeneza masanamu? Hapa hii aya haujibu mpaka unakufa. Na ukileta andiko la uongo linapingwa hapa.Huwa nacheka Sana huu ndio uzuri wa kuisoma dini na ku debate kwa kutumia maandiko Yao , yani kijana unapinga Uislamu mbele za watu , hili nimemaliza kamuuliza Faiza na ndugu yake kisai wanavyo niogopa
Koran 64:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuruo
Ungejibu kwa nini Allah alitengeneza masanamu na kuyaweka msikitini ungekuwa umefanya jihad na Allah angekupa bikra 72 na uume umesima milele , bila kusahu angekuwezesha kupata mimba mtoto wa kiume , bisha kitu niweke ushahidi!
Ule sio ukumbusho tu. Bali ni mwili wake na damu yake kweli.Wewe acha kubadili mada, nasisitiza kupokea ekaristi siyo uhakika Yesu anaingia ndani yako kama ulivyokaririshwa..ule ni ukumbusho tuu. Bwana anatizama roho safi iliyopondeka mbele zake ndipo anaweka makao.
Mimi ni nani nikukataze kukomunika, mbona ni kitu kizuri tuu.
Kwa nini unapinga Koran?Ila we kafiri chenga sana. Wapi Allah alitengeneza masanamu? Hapa hii aya haujibu mpaka unakufa. Na ukileta andiko la uongo linapingwa hapa.
Umeenda kuabudu picha ya 'Brian Deacon'? Moyo utakuuma sana.
Wanataka kuizima nuru ya Mwenyezi Mungu kwa vinywa vyao. Na Mwenyezi Mungu atakamilisha nuru yake ijapo kuwa makafiri watachukia.(Quran 61:8)
Unipe jibu hata la kutunga juu ya aya hii. Kama uongo sema nikupe mtihani mwingine.
1 Wakorintho
25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Poor you, walibadili taratibu ipi ya ibada? Naomba mfano mmoja! Tena naomba usiruke mada ili watu wajifunze. Toa mfano mmoja tu unatosha tena kwa ufupi sana. NakusubiriHuna unachojua wewe, hivi unamfahamu kaizari Kostantino alivyoliathiri kanisa? Unafahamu mitume walivyoteswa na dola ya Roma? Hujui ma kaizari wa dola ya Roma walibadilisha hata taratibu za ibada za kanisa la kwanza na washirika wakatii maana waliuwawa na kupata kichapo kosawasawa kutoka kwa dola ya Roma
Wewe ni nani wa kumpinga Yesu mwenyewe.Wewe acha kubadili mada, nasisitiza kupokea ekaristi siyo uhakika Yesu anaingia ndani yako kama ulivyokaririshwa..ule ni ukumbusho tuu. Bwana anatizama roho safi iliyopondeka mbele zake ndipo anaweka makao.
Mimi ni nani nikukataze kukomunika, mbona ni kitu kizuri tuu.
Kwanza tofautisha kuombeana na kuomba kwa .... sisi hatuombi kwa watakatifu akiwemo kipenzi chetu Mama Bikira Maria bali tunaomba maombezi yao kwa Kristo.Hakuna mahali popote katika Maandiko panaposema waombee watakatifu waliokufa. Hakuna mahali popote katika Maandiko panasema waombe watakatifu waliokufa wakuombee.
Hakuna mahali inaposema kwamba watu wa Mbinguni wataombea watu duniani. Wakristo walio hai duniani wanaweza kukuombea, lakini watu waliokufa hawatakuombea kwa Mungu na huwezi kupata kifungu chochote cha kuhalalisha hili.
Kuomba kwa Mariamu na watakatifu wengine waliokufa sio kibiblia na kuomba kwa mtu mwingine yeyote isipokuwa Mungu ni ibada ya sanamu. Kusujudia sanamu au kuchora na kuiomba ni uovu na ni haramu katika Maandiko.
Wakatoliki wana mchango mkubwa sana kiroho DUNIA NZIMA ila tulio wengi hatujui hili. The fact kwamba wapo kila mahali kama HEWA, hii pekee tu inasababisha jina la YESU kutajwa kila mahali, almost kila siku. Fikiria kama wasingekuwepo na bila kuwa na mbadala wowote wa uwepo wao! Nawaheshimu sana watu hawa na kwa kiwango cha pekee sanaHabari za wakati huu wapendwa
Katika dini zote au madhehebu yote au makanisa yote hakuna kanisa au waumini ambao wanaongoza kupigwa vita na kusemwa vibaya kama wakatoliki.
Ukienda kwenye mikusanyiko ya waislamu wanaopondwa ni wakatoliki ukienda kwenye mikutano ya injili ya walokole wanaopondwa na kusimangwa ni wakatoliki lakini huwezi kusikia wakijibizana na mtu.
Tangu nizaliwe hadi sasa sijawahi kusikia wala kuona wakatoliki wameandaa mkutano wa injili kuponda au kusimanga dini kinzani au dhehebu kinzani.
Isipokuwa wao mafundisho yao kwa watoto wa kimunio ya kwanza na kipaimara yamejikita katika kuufahamu ukatoliki na kuuelewa vizuri ndio maana ukikuta mkatoliki ameiva kabisa kwenye mafundisho huwezi ukamkuta anatetereshwa kwa mambo ya kijinga.
Wakatoliki wengi wao wamepewa mioyo ya uvumilivu ndio maana wanasimangwa sana kuhusu ubaya madhaifu yao lakini bado wapo imara na wameendelea kushikilia imani yao.
Huwezi ukakuta wakatoliki wanashawishi watu wahamie dini yao kwa kuwaambia madhaifu ya dini kinzani huwezi kukuta wakatoliki wapo mtaani wanahubiri au kwenye mabasi kisha kuwaambia watu watoe sadaka huwezi kukuta hiyo.
Ushauri wangu kwa dini na madhehebu mengine ni bora katika mafundisho yenu mjikite katika kuwaambia watu mazuri ya dini na madhehebu yenu ili kama mtu akivutiwa na mafundisho yenu awafate bila kuchafua dini za wenzenu.
Maana unaweza ukachafua dini/dhehebu la mwenzio siku na lako likija kuchafuliwa usianze kupaniki na kuanza kuleta maandamano ya kufunga barabara kwa kusema dini /dhehebu lako limechafuliwa.
Najua yapo mengi sana yanaongelewa huko mtaani kila dhehebu likisema ubaya wa dhehebu kinzani na wote ni mashahidi.
Kama wote lengo letu kufinga mbinguni muache afike kwa njia anayotaka yeye usimpangie njia ya kupita afike mbinguni.
Nilichogundua asilimia kubwa wanaohubiri kwa kuwachafua wenzao anataka wapate waumini tu ili SADAKA ziongezeke hakuna kingine.
Mkuu mtazamo naomba ufafanuzi wako,Kwa nini kanisa katoliki lilianzisha ubatizo wa kunyunyiza tofauti na ule wa kuzamisha kwenye maji mengi wa mitume, lengo la kufanya hivyo lilikuwa nini?Kwanza tofautisha kuombeana na kuomba kwa .... sisi hatuombi kwa watakatifu akiwemo kipenzi chetu Mama Bikira Maria bali tunaomba maombezi yao kwa Kristo.
Ipo misingi ya haya mafundisho. Kama hutaki ubishi tu kajifunze kupitia Google mfano Catholic Answers yapo majibu ya kina. Ila kama lengo ni ubishi tu sina la ziada kwenye hili.
Kwanza ni muhimu kujua ubatizo ni nini? Tukielewa juu ya hilo tutaelewa pia nafasi ya maji kwenye ubatizo. Kanisa Katoliki halikatazi wala halijakataza popote ubatizo wa maji mengi na yapo makanisa ya Kikatoliki yanabatiza kwa maji mengi. Ila swala la maji machache lina misingi yake ikiwepo maandiko matakatifu.Mkuu mtazamo naomba ufafanuzi wako,Kwa nini kanisa katoliki lilianzisha ubatizo wa kunyunyiza tofauti na ule wa kuzamisha kwenye maji mengi wa mitume, lengo la kufanya hivyo lilikuwa nini?
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Hii inayoeleweka tolea ufafanuzi wa hii aya. Mbona haujibu hili swali? Upumbavu wa Mungu na udhaifu wake ni upi aliosema Paulo?Kwa nini unapinga Koran?
Koran 64:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuruo
Yani huwezi ona neno masanamu ?
Koran bila maelezo ya binadamu haieleweki kabisa
Apo ukiulizwa Allah anasema walikuwa wakimfanyia! Ni kina nani hao? Ndioaana
unaenda kusoma maelezo ya binadamu wanasema ni mapepo yalitumwa na Allah
Hii inayoeleweka tolea ufafanuzi wa hii aya. Mbona haujibu hili swali? Upumbavu wa Mungu na udhaifu wake ni upi aliosema Paulo?Kwa nini unapinga Koran?
Koran 64:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuruo
Yani huwezi ona neno masanamu ?
Koran bila maelezo ya binadamu haieleweki kabisa
Apo ukiulizwa Allah anasema walikuwa wakimfanyia! Ni kina nani hao? Ndioaana
unaenda kusoma maelezo ya binadamu wanasema ni mapepo yalitumwa na Allah