Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Acha ubishi wewe kamwenyekiti ka jumuiya ,umekumbatia ka chuo kako kadogo ka sala na kikatekisimu unaona umemaliza.

Numbers 21:8-9
[8]And the LORD said unto Moses, Make thee a fiery serpent, and set it upon a pole: and it shall come to pass, that every one that is bitten, when he looketh upon it, shall live.

Bwana akamwambia Musa, Jifanyie nyoka ya shaba, ukaiweke juu ya mti, na itakuwa kila mtu aliyeumwa, aitazamapo ataishi.

[9]And Moses made a serpent of brass, and put it upon a pole, and it came to pass, that if a serpent had bitten any man, when he beheld the serpent of brass, he lived.

Musa akafanya nyoka ya shaba, akaiweka juu ya mti, hata ikiwa nyoka amemwuma mtu, alipoitazama ile nyoka ya shaba, akaishi. Safari Kuelekea Moabu
Kwa hiyo hapo ndio ibada ya Sanamu?

Ndivyo ulivyofundishwa na mchungaji wako?
 
IWapi Allah alitengeneza masanamu? Hapa hii aya haujibu mpaka unakufa. Na ukileta andiko la uongo linapingwa hapa.
Kuwa makini Sana kijana waislamu huwa Wana chinja mtu akipinga maandiko

Yani Koran unasema ni andiko la uongo na unalipinga ?

Koran 64:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuruo

Jibu swali kwa nini Allah alitengeneza masanamu na kuyaweka msikitini
 
Halafu Roman Catholic ni kwaajili ya Italy tu. Mmakonde, Mmachinga, Mmsai, Mchagga au Mnyakyusa na Catholic wapi na wapi !.Umewahi kuona au kusikia Pope Mwafrika au Mungu wa wa Catholic ni Mungu kwaajili ya wazungu pekee yake.
Sielewi una maana gani kusema Ukatoliki ni kwa ajili ya Italia tu wakati unafahamu fika hata Tanzania Kanisa hilo lipo. Neno 'catholic' maana yake 'universal'. Kanisa hili lipo mabara yote na nchi zote za ulimwengu. Hakuna dini iliyosambaa ulimwenguni kuzidi Kanisa Katoliki.
Kuhusu Mapapa, wamekuwepo Mapapa wanne kutoka Afrika ya Kaskazini: Papa Victor wa Kwanza aliyekuwa Papa wa 14 Mwaka 189-199; Papa Miltiades aliyekuwa Papa wa 32 Mwaka 311-314; na Papa Gelasius aliyekuwa Papa wa 49 mwaka 492-496.
 
Hii inayoeleweka tolea ufafanuzi wa hii aya. Mbona haujibu hili swali? Upumbavu wa Mungu na udhaifu wake ni upi aliosema Paulo?

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Jibu kwa nini Allah aliweka masanamu msikitini?
 
Jibu kwa nini Allah aliweka masanamu msikitini?
Lete andiko hilo. Makafiri wenzako wote wanakushangaa.

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Ule sio ukumbusho tu. Bali ni mwili wake na damu yake kweli.
Hahahaaaaaa ila wee jamaaa
Hahahaa. Umenikumbusha na kale kawimbo ka..aaulaaaaye mwiiiiliii waaanguu..naakuiiinywa daaamu yaanguu aseema Bwaaana huuukaaaa ndaaaaniii yangu nnaaaami hukaaaaa aa ndaaani yakeee. Waumini hapo wanafunga mikono kupokea sakramenti. Hii kitu iko sawaa lakini mambo mengine mengi yamebadilishwa na kuongezwa kama tulivyo jadili. Lakini ibada na imani bado ni uamuzi wa mtu husika
 
Kuwa makini Sana kijana waislamu huwa Wana chinja mtu akipinga maandiko

Yani Koran unasema ni andiko la uongo na unalipinga ?

Koran 64:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuruo

Jibu swali kwa nini Allah alitengeneza masanamu na kuyaweka msikitini
Wapi Allah alitengeneza masanamu? Unioneshe hiyo sehemu we kafiri

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Acha ubishi wewe kamwenyekiti ka jumuiya ,umekumbatia ka chuo kako kadogo ka sala na kikatekisimu unaona umemaliza.

Numbers 21:8-9
[8]And the LORD said unto Moses, Make thee a fiery serpent, and set it upon a pole: and it shall come to pass, that every one that is bitten, when he looketh upon it, shall live.

Bwana akamwambia Musa, Jifanyie nyoka ya shaba, ukaiweke juu ya mti, na itakuwa kila mtu aliyeumwa, aitazamapo ataishi.

[9]And Moses made a serpent of brass, and put it upon a pole, and it came to pass, that if a serpent had bitten any man, when he beheld the serpent of brass, he lived.

Musa akafanya nyoka ya shaba, akaiweka juu ya mti, hata ikiwa nyoka amemwuma mtu, alipoitazama ile nyoka ya shaba, akaishi. Safari Kuelekea Moabu
Nimegundua shida Yako ni kukariri.

Nikuachie homework.

Kama Mungu aliruhusu ibada ya Sanamu enzi za Musa,baadae akaikataa anashindwa Nini kuziruhusu Tena?.

Huyu mungu wako anayegeuza geuza maamuzi unamwamini vipi hawezi kubadili maamuzi na kutuhitaji tuabudu Tena Sanamu?
 
Lete andiko hilo. Makafiri wenzako wote wanakushangaa.

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Hili hapa
Koran 64:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuruo

Na huyu ni Suleiman Allah alituma majini yamtengeneze masanamu wayaweke msikitini
 
Poor you, walibadili taratibu ipi ya ibada? Naomba mfano mmoja! Tena naomba usiruke mada ili watu wajifunze. Toa mfano mmoja tu unatosha tena kwa ufupi sana. Nakusubiri
Mfano kusali Jumapili alibadilisha mfalme Kostantino. Mwanzoni walisali Jumamosi ila Jumapili walikutana kuumega mkate. Hata Yesu alienda ibada Jumamosi. Mimi siyo msabato lakini huwa nasali Jpili kwa maana siku zote ni za Bwana.
Unasemaje ktk hilo
 
Nimegundua shida Yako ni kukariri.

Nikuachie homework.

Kama Mungu aliruhusu ibada ya Sanamu enzi za Musa,baadae akaikataa anashindwa Nini kuziruhusu Tena?.

Huyu mungu wako anayegeuza geuza maamuzi unamwamini vipi hawezi kubadili maamuzi na kutuhitaji tuabudu Tena Sanamu?
Allah alisharuhusu masanamu yawekwe msikitini , na hajawahi kukataza ,ndio tujiulize ?

Koran 64:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru
 
Kwanza tofautisha kuombeana na kuomba kwa .... sisi hatuombi kwa watakatifu akiwemo kipenzi chetu Mama Bikira Maria bali tunaomba maombezi yao kwa Kristo.

Ipo misingi ya haya mafundisho. Kama hutaki ubishi tu kajifunze kupitia Google mfano Catholic Answers yapo majibu ya kina. Ila kama lengo ni ubishi tu sina la ziada kwenye hili.
Ni kosa kuombewa na wafu. Lango ni moja tuu nalo ni Yesu
 
Hahahaaaaaa ila wee jamaaa
Hahahaa. Umenikumbusha na kale kawimbo ka..aaulaaaaye mwiiiiliii waaanguu..naakuiiinywa daaamu yaanguu aseema Bwaaana huuukaaaa ndaaaaniii yangu nnaaaami hukaaaaa aa ndaaani yakeee. Waumini hapo wanafunga mikono kupokea sakramenti. Hii kitu iko sawaa lakini mambo mengine mengi yamebadilishwa na kuongezwa kama tulivyo jadili. Lakini ibada na imani bado ni uamuzi wa mtu husika
Ule ni mwili wake kweli.
Someni maandiko vizuri.

Luka 22:19-38
Halafu akatwaa mkate, akashukuru, akaumega, akawapa akisema,

“Huu ni mwili wangu unaotolewa kwa ajili yenu.

Fanyeni hivi kwa kunikumbuka.”
 
Hili hapa
Koran 64:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuruo

Na huyu ni Suleiman Allah alituma majini yamtengeneze masanamu wayaweke msikitini
Ufafanuzi wa haya umetoa wapi? Weka hata chanzo cha uongo.

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Kwanza ni muhimu kujua ubatizo ni nini? Tukielewa juu ya hilo tutaelewa pia nafasi ya maji kwenye ubatizo. Kanisa Katoliki halikatazi wala halijakataza popote ubatizo wa maji mengi na yapo makanisa ya Kikatoliki yanabatiza kwa maji mengi. Ila swala la maji machache lina misingi yake ikiwepo maandiko matakatifu.

Sasa najua ukitoka kwenye maji machache utahamia ubatizo kwa watoto. Tuanzie hapo nione
Hahahaaaa duu
 
Mfano kusali Jumapili alibadilisha mfalme Kostantino. Mwanzoni walisali Jumamosi ila Jumapili walikutana kuumega mkate. Hata Yesu alienda ibada Jumamosi. Mimi siyo msabato lakini huwa nasali Jpili kwa maana siku zote ni za Bwana.
Unasemaje ktk hilo
Kuna sehemu Mungu alisema watu wasali Jumamosi?.
 
Habari za wakati huu wapendwa

Katika dini zote au madhehebu yote au makanisa yote hakuna kanisa au waumini ambao wanaongoza kupigwa vita na kusemwa vibaya kama wakatoliki.

Ukienda kwenye mikusanyiko ya waislamu wanaopondwa ni wakatoliki ukienda kwenye mikutano ya injili ya walokole wanaopondwa na kusimangwa ni wakatoliki lakini huwezi kusikia wakijibizana na mtu.

Tangu nizaliwe hadi sasa sijawahi kusikia wala kuona wakatoliki wameandaa mkutano wa injili kuponda au kusimanga dini kinzani au dhehebu kinzani.

Isipokuwa wao mafundisho yao kwa watoto wa kimunio ya kwanza na kipaimara yamejikita katika kuufahamu ukatoliki na kuuelewa vizuri ndio maana ukikuta mkatoliki ameiva kabisa kwenye mafundisho huwezi ukamkuta anatetereshwa kwa mambo ya kijinga.

Wakatoliki wengi wao wamepewa mioyo ya uvumilivu ndio maana wanasimangwa sana kuhusu ubaya madhaifu yao lakini bado wapo imara na wameendelea kushikilia imani yao.

Huwezi ukakuta wakatoliki wanashawishi watu wahamie dini yao kwa kuwaambia madhaifu ya dini kinzani huwezi kukuta wakatoliki wapo mtaani wanahubiri au kwenye mabasi kisha kuwaambia watu watoe sadaka huwezi kukuta hiyo.

Ushauri wangu kwa dini na madhehebu mengine ni bora katika mafundisho yenu mjikite katika kuwaambia watu mazuri ya dini na madhehebu yenu ili kama mtu akivutiwa na mafundisho yenu awafate bila kuchafua dini za wenzenu.

Maana unaweza ukachafua dini/dhehebu la mwenzio siku na lako likija kuchafuliwa usianze kupaniki na kuanza kuleta maandamano ya kufunga barabara kwa kusema dini /dhehebu lako limechafuliwa.

Najua yapo mengi sana yanaongelewa huko mtaani kila dhehebu likisema ubaya wa dhehebu kinzani na wote ni mashahidi.
Kama wote lengo letu kufinga mbinguni muache afike kwa njia anayotaka yeye usimpangie njia ya kupita afike mbinguni.

Nilichogundua asilimia kubwa wanaohubiri kwa kuwachafua wenzao anataka wapate waumini tu ili SADAKA ziongezeke hakuna kingine.
Jua kwamba mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe.
 
Ni kosa kuombewa na wafu. Lango ni moja tuu nalo ni Yesu
Ni kweli Kabisa.
Ni kosa kuombewa na wafu maana wafu hawajui chochote.
Wakristo sio wafu Kwa hiyo ni halali kuombeana.
Kuna madhehebu ni wafu na hawastahili kuombea.
 
Back
Top Bottom