Kwa hiyo hapo ndio ibada ya Sanamu?Acha ubishi wewe kamwenyekiti ka jumuiya ,umekumbatia ka chuo kako kadogo ka sala na kikatekisimu unaona umemaliza.
Numbers 21:8-9
[8]And the LORD said unto Moses, Make thee a fiery serpent, and set it upon a pole: and it shall come to pass, that every one that is bitten, when he looketh upon it, shall live.
Bwana akamwambia Musa, Jifanyie nyoka ya shaba, ukaiweke juu ya mti, na itakuwa kila mtu aliyeumwa, aitazamapo ataishi.
[9]And Moses made a serpent of brass, and put it upon a pole, and it came to pass, that if a serpent had bitten any man, when he beheld the serpent of brass, he lived.
Musa akafanya nyoka ya shaba, akaiweka juu ya mti, hata ikiwa nyoka amemwuma mtu, alipoitazama ile nyoka ya shaba, akaishi. Safari Kuelekea Moabu
Ndivyo ulivyofundishwa na mchungaji wako?